Models/ Video queen na uvaaji wa nusu uchi

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
264
Reaction score
380


Nauliza hivi wadau kwani ni lazima kwa video queen au model kuvaa nusu uchi?
Hawa watu wanaleta vichocheo vya ngono na ubakaji inabidi serikali iwatazame kwa jicho la 3 wanaharibu utamaduni wa Kitanzania
Kama ukahaba umepigwa marufuku basi na hawa video queens/models nao wapigwe marufuku manake hawana tofauti na machangudoa
 
Tena kama huyu amberlulu ndio huwa hajiheshimu kabisa

Serikali ikiamua naamini watapunguza asee
 
Huyo alievaa njano anawashwa huko chini?
 
Hiyo ni type nyingine ya kujiuza sema hata wakiulizwa utaambiwa tumejiajiri through u video queen
 
I dont mind a naked woman.. Infact i like it [HASHTAG]#Fantacy[/HASHTAG] inapunguza uchu..
 
Kweli kabisa!!! BASATA imewafumbia macho kabisa hawa...
Nikiwa na familia home, nyimbo ninazoweka huwa ni za mrisho mpoto, ambapo familia nzima mwaweza angaliaa bila kuwa na shaka nini kitaokea.

Ila hizi zingine, Mhh! hapana
 
Kweli kabisa!!! BASATA imewafumbia macho kabisa hawa...
Jaman wakivaa madera Nani atawaangalia[emoji4] .....ata hao BASATA wanafurahia tu wakiwa maofisini ni burudani tosha
 
Nikiwa na familia home, nyimbo ninazoweka huwa ni za mrisho mpoto, ambapo familia nzima mwaweza angaliaa bila kuwa na shaka nini kitaokea.

Ila hizi zingine, Mhh! hapana
Alafu sijui hawajistukiii!!!
 
Kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…