Models/ Video queen na uvaaji wa nusu uchi

Models/ Video queen na uvaaji wa nusu uchi

Hapo gigy mbona kavaa vazi la heshima sana,mchupi wote huo? Saa nyingine hata [emoji356] [emoji357] havaagi Gift!!
 
c697de96c3481c9d845cfacc4077cfbe.jpg

fe94ead46d1019e23939395739be3a64.jpg

Nauliza hivi wadau kwani ni lazima kwa video queen au model kuvaa nusu uchi?
Hawa watu wanaleta vichocheo vya ngono na ubakaji inabidi serikali iwatazame kwa jicho la 3 wanaharibu utamaduni wa Kitanzania
Kama ukahaba umepigwa marufuku basi na hawa video queens/models nao wapigwe marufuku manake hawana tofauti na machangudoa
Aaaaaaah daaah kwa nini nimefungua hapa daaah tayar nimeshapata akshi, hebu ngoja nimpigie wangu sim nyumbani ajiandae kabisa maana mmeshanipotezea mudi kabisa ya kufanya kazii , narudi Home faster
 
Back
Top Bottom