modem kwa kiswahili inaitwaje

modem kwa kiswahili inaitwaje

modem n modemu: kidude cha kuunganisha kompyuta na vifaa vingine kupitishia data.

source: TUKI
 
Kinaitwa 调ઉપકરણ 制 કે એનાલોગ解ઉપકરણ调સંકેત器 વ....... Hahaaa natania !!

(Kifaa kinacho badilisha mawimbi ya Ishara ya analog na kutafsiri/ kufanya taarifa )

hahaa! sifikiri kama kuna neno rasmi la kiwahili, nimejaribu kufikiri tokea jana na leo nakutumia neno hili:- Neno jipya Ni "kichakatamtandao" = "Kichakatando"
 
Back
Top Bottom