Hii ni ile yenye charter la airtel coz ndo znazo bamba. Afu kwa kukujibu wewe Chisamba ni hivi,,
Modem hzo nilikua nazo sita sasa nimeuza nyengine zote ikabaki hii kwa shughuri zangu binafsi. Ila kwa sasa sina tena computer ninatumia cm so nahis haina umuhimu saana kwangu ndio maana naiuza na sio kwamba ni mbovu. I thnk yu copy that ( umenielewa vizuri)