Modem ya Zantel EC168C inachakachulika?

Modem ya Zantel EC168C inachakachulika?

guys ntajaribu kutafuta hao wa2 niwaulize kwa mbinde coz ninakoishi mtu ana2mia net kama kawa since january na ikifka saa sita ucku mpka sa 12 asbh speed huwa inakimbilia had 600kbps!! Mwanza hku ukitaka kuwapata nenda brothers internet cafe ndo wachakachuaj walipo!
 
mzee ukipata hzo setings.tujuze hayo maujanja hapa jf.people wanafanya hi ki2 az busines..hawatoi maujuzi.hinx wl b glad ukitupe hyo elimu.shukran
 
guys ntajaribu kutafuta hao wa2 niwaulize kwa mbinde coz ninakoishi mtu ana2mia net kama kawa since january na ikifka saa sita ucku mpka sa 12 asbh speed huwa inakimbilia had 600kbps!! Mwanza hku ukitaka kuwapata nenda brothers internet cafe ndo wachakachuaj walipo!

kijana its easy to do that mie nipo mwanza n i know jinsi ya kuchakachua hyo moderm ya zantel, ni PM ntakuelekeza tena bure.
 
ya kwangu ni EC122 na ina sehem ya kueka line inakuaje?
 
Hello Jamii,how are ya all doing out there?
I was out for a moment,here I am again and thought it'd be better if I say hello to ya all.
Good day!
 
Back
Top Bottom