Modern Airport Terminal in East and Central Africa almost complete

Tuna bahati viongozi wetu hawana akili kama zako.
Bunge la Afrika Mashariki liko Dodoma wanajadili namna ya kuanzisha umoja wa fedha EALA sits in Dodoma starting today
 
Umemtoa nani ujingaπŸ˜€πŸ˜€ Tuonyeshe Travelator hapo JKIA. Tunasubilia badoπŸ˜€πŸ˜€ Sindo modern terminal in EA.! We are waiting please.πŸ˜€πŸ˜€
Yani bado unasherekea moving walkways southfield mall ina travelators 4 ..achanga kujiabisha
 
Yani bado unasherekea moving walkways southfield mall ina travelators 4 ..achanga kujiabisha
Sio moving walk way ni TravetorπŸ˜€πŸ˜€ Hizo za kwenye mall ni elevator. From one floor to another. Moving walk way hapa hatupo kinergarten please😱😱 Tunaomba Travelator ya JKIA tuiyone. We are waiting. Kwani hujaenda kuipiga picha ??
 
ulikua unapinga travelator haiwezi kua inclined...ata haukua unajua travalator ni nini..ata hujawai tumia travalator na unawika wika hapa na mimi ndio nlikuchanua..buda utazidi kulamba lolo
Hakuna swala lakuwa inclined. Hiyo ni elevator. Travelator inakuwa straight. Hiyo nisawa nakuchukua chupi ukavaa kichwaniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
buda elavator ina stairs travalator haina acha ubishi wakifala ukishindwa kutoa fact nyamaza
 
Damn 1.2km long a record in EA!
 
ulikua unapinga travelator haiwezi kua inclined...ata haukua unajua travalator ni nini..ata hujawai tumia travalator na unawika wika hapa na mimi ndio nlikuchanua..buda utazidi kulamba lolo
Hiyo uliyo onyesha ni elevator. Travelator inaurefu wa hadi 200 meters and its never inclinedπŸ˜€πŸ˜€ # Tunaomba Travelator ya JKIA Kenyans please.
 
buda elavator ina stairs travalator haina acha ubishi wakifala ukishindwa kutoa fact nyamaza
Tumekupa facts umeshindwa. Hiyo ni elevator. Meaning it take you up(juu) Travelator is always straight(imenyooka)
# Tunaomba Travelator ya JKIA Kenyans please.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…