Cicero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,924
- 3,074
Tuna bahati viongozi wetu hawana akili kama zako.Hizo nifikra zako. Mlipo vunja EA community mlikuwa mkifikili nini ? Kwa sasa tumegutuka. Swala la Africa kuwa moja hakuna tena. TZ itabaki TZ na Kenya ibaki kuwa Kenya.
Kaeni huko Kenya hatuwataki huku kwa sasa. Mlituchezea vya kutosha.
International citizen inatambulika UN ??
Bunge la Afrika Mashariki liko Dodoma wanajadili namna ya kuanzisha umoja wa fedha EALA sits in Dodoma starting today