EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Thanks for your commentmkuu sikuvunji moyo ila tafuta kazi nyingine ya kufanya
hakuna kitu hapo
Thanks for your comment.Weka na ramani yake tuone.
Ukubwa wa vyumba.
Vyumba ni vingapi.
Vyoo n,k
Thanks for your commentNyie ndio mnaoharibu fani za watu...dah kwa bahati mbaya mamlaka husika imelala
Thanks for your commenttoa huo uchafu mkuu
Thanks for your commentDogo ungeongeza uwezo kwanza ndio uanze kujitangaza.
Mamlaka ifanyeje sasa kwenye nchi maskin kama hii...nenda kachome nyumba za nyasi basi au zile za kwa Mtogole. Mbele choo nyuma sebule..pumbaf kabisa..mwache jamaa hapo ndio uwezo wake ulipoishiaNyie ndio mnaoharibu fani za watu...dah kwa bahati mbaya mamlaka husika imelala
Thanks for your commentMamlaka ifanyeje sasa kwenye nchi maskin kama hii...nenda kachome nyumba za nyasi bas au zile za kwa mtogole.mbele choo nyuma sebule..pumbaf kabisa..mwache jamaa hapo ndo uwezo wake ulipoishia
Thanks for your commentInaonyesha unaipenda sana hii fani.
Kaisomee, you will be a very good architect kwa sababu una passion.
Ila hivi unavyofanya is too amateurish na inaboa kwa sababu tunafungua uzi ili tuone vitu professional.
thanks for your commentMara kadhaa nimekushauri jifunze kufanya rendering, jifunze Sana ukishaiva ndio uanze kuomba kazi.
Tatizo una haraka sana, Sasa ona kwa michoro hiyo utapata wapi mteja?
Mamlaka ifanyeje sasa kwenye nchi maskin kama hii...nenda kachome nyumba za nyasi bas au zile za kwa mtogole.mbele choo nyuma sebule..pumbaf kabisa..mwache jamaa hapo ndo uwezo wake ulipoishia
Thanks for your commentDogo Jifunze Hizo Softwares vizuri, Either AutoCAd au kama ni ArchCad, angalia ulivo na drawings mbovu kabisa. Either kama upo chuo maliza shule au kuwa na part time ya kumaster hizo softwares na pia jitahidi kwenye rendering.
Naweza kupa support pia uijue kazi.