Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Huyu dogo ni mbishi Sana, Mara kadhaa nimemuambia jifunze zaidi na zaidi ukishaiva ndio uanze kuomba kazi. Yeye anaomba kazi ikiwa kazi yenyewe hajaijua vizuri, Sasa sijui hao wateja atawapata wapiDogo Jifunze Hizo Softwares vizuri, Either AutoCAd au kama ni ArchCad, angalia ulivo na drawings mbovu kabisa. Either kama upo chuo maliza shule au kuwa na part time ya kumaster hizo softwares na pia jitahidi kwenye rendering.
Naweza kupa support pia uijue kazi.