Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Huyu dogo ni mbishi Sana, Mara kadhaa nimemuambia jifunze zaidi na zaidi ukishaiva ndio uanze kuomba kazi. Yeye anaomba kazi ikiwa kazi yenyewe hajaijua vizuri, Sasa sijui hao wateja atawapata wapiDogo Jifunze Hizo Softwares vizuri, Either AutoCAd au kama ni ArchCad, angalia ulivo na drawings mbovu kabisa. Either kama upo chuo maliza shule au kuwa na part time ya kumaster hizo softwares na pia jitahidi kwenye rendering.
Naweza kupa support pia uijue kazi.
Thanks for your commentHuyu dogo ni mbishi Sana, Mara kadhaa nimemuambia jifunze zaidi na zaidi ukishaiva ndio uanze kuomba kazi. Yeye anaomba kazi ikiwa kazi yenyewe hajaijua vizuri, Sasa sijui hao wateja atawapata wapi
Hivi ni watanzania wangapi wanaweza kuishi kwenye nyumba kama hiyo? Asilimia kubwa hawawezi. kwa hiyo huyu dogo mpe encouragement siyo kumponda! Au unadhani wote tunaishi nyumba zilizo disainiwa kwa ArchiCAD?Nyie ndio mnaoharibu fani za watu...dah kwa bahati mbaya mamlaka husika imelala
thanks for your commentHivi ni watanzania wangapi wanaweza kuishi kwenye nyumba kama hiyo? Asilimia kubwa hawawezi. kwa hiyo huyu dogo mpe encouragement siyo kumponda! Au unadhani wote tunaishi nyumba zilizo disainiwa kwa ArchiCAD?
Anakosea sana..Huyu dogo ni mbishi Sana, Mara kadhaa nimemuambia jifunze zaidi na zaidi ukishaiva ndio uanze kuomba kazi. Yeye anaomba kazi ikiwa kazi yenyewe hajaijua vizuri, Sasa sijui hao wateja atawapata wapi
thanks for your commentAnakosea sana..
Mkuu ili rendering itoe picha yenye quality nzuri inatakiwa na properties zipi. Hapa ndio nakwama nimejaribu mara kadhaa najikuta natoa picha yenye quality iliyo fifia.Mara kadhaa nimekushauri jifunze kufanya rendering, jifunze Sana ukishaiva ndio uanze kuomba kazi.
Tatizo una haraka sana, Sasa ona kwa michoro hiyo utapata wapi mteja?
Thanks for your comment once againthanks for your comment
okay, thank you too.Thanks for your comment once again
Huyu jamaa kala laki5 yangu hapa. Nliiona sehem hii nikamwambia anitolee kama hii na yy ndo atasimamia kuhakikisha wajenzi wanajenga na mwonekano uwe kama huuJitahidi sana ufikie kiwango hikiView attachment 1712852
Jitahidi sana ufikie kiwango hikiView attachment 1712852
Huyu jamaa kala laki5 yangu hapa. Nliiona sehem hii nikamwambia anitolee kama hii na yy ndo atasimamia kuhakikisha wajenzi wanajenga na mwonekano uwe kama huu
ngoja tumsubiri ajeMlamu, hiyo nyumba umeipendea nini hasa?
Unategemea kuweka attic? Kama watu wengine walivyokwisha comment, nadhani hii siyo design nzuri ingawa sijaona floor plan yake.Hello everyone,
I'm still continuing with my project of house design. And today I've come with the project which I'm making this week as you can see on the photos below.
These photos show the house design. This house has four bed rooms, it's a modern living house. I've not finished yet b'cause I need to add several small elements which can make it more prettier.
View attachment 1712733
View attachment 1712734
View attachment 1712735
View attachment 1712736
View attachment 1712737
View attachment 1712738
View attachment 1712739
View attachment 1712740
View attachment 1712741
Nimejisikia huruma....
Thanks for your commentUnategemea kuweka attic? Kama watu wengine walivyokwisha comment, nadhani hii siyo design nzuri ingawa sijaona floor plan yake.