Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Tunawaomba wahusika walifanyie kazi swala la hasa pitch mbovu ambazo zimekuwa zikiharibu utamu wa mpira wetu. Standard walau kama ya Kaitaba hivi nchi nzima ingekuwa ni vizuri zaidi na kuweza kupata burudani safi kabisa.
Timu ambazo mchezo wao ni kuweka kabumbu chini hupata shida kwenye viwanja kama Dodoma(Jamihuri) na vinginevyo. Na viwanja kama hivi ni hatari kwa kutengua ankles za wachezaji wetu na ball control huwa kizungumkuti. Na huwezi jua anayejua kucheza ni nani na asiyejua ni nani maana huwa ni vurugu match of some kind.
Wahusika, jicho la tatu linahitajika hapa kwa kwani league yetu sasa imekuwa maarufu and who knows, tunaweza kuiona kwenye Super Sport and other sports channels in the near future.
Soccer is business, I mean big business.
Tusisahau inatoa ajira nyingi tu kwenye mnyororo wake.