Mpagama Senior Member Joined Jan 9, 2011 Posts 127 Reaction score 7 Jan 20, 2011 #1 Kwa matumizi ya binadamu, hiki ni choo bora au bora choo? Attachments 15.jpg 32 KB · Views: 265
KIMICHIO JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 1,178 Reaction score 80 Jan 20, 2011 #2 Hapo sasa ukute umeshautwika mtindi ile kisawasawa lazima haja kubwa uimalizie nguoni.
M mzawahalisi JF-Expert Member Joined Jan 11, 2010 Posts 752 Reaction score 238 Jan 20, 2011 #3 ukicnzia unafikia kichwa, ukipona utatoa sadaka kubwa.
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,947 Reaction score 4,470 Jan 20, 2011 #4 mzawahalisi said: ukicnzia unafikia kichwa, ukipona utatoa sadaka kubwa. Click to expand... Inaonyesha cha kichina hiki
mzawahalisi said: ukicnzia unafikia kichwa, ukipona utatoa sadaka kubwa. Click to expand... Inaonyesha cha kichina hiki
chalinze New Member Joined Jan 19, 2011 Posts 2 Reaction score 0 Jan 20, 2011 #5 Hakuna kitu kama hicho
2my JF-Expert Member Joined Jan 30, 2010 Posts 287 Reaction score 7 Jan 20, 2011 #6 hiki choo km upo keroro lazima umalizie shida yako hapo kwenye ngazi ya kwanza.......
D Dina JF-Expert Member Joined Sep 18, 2008 Posts 3,224 Reaction score 1,789 Jan 20, 2011 #7 Walemavu na wagonjwa hawakuwemo kabisa kwenye plan ya mjenzi wa hiki choo!
Paulo JF-Expert Member Joined Jan 5, 2009 Posts 342 Reaction score 68 Jan 20, 2011 #8 Tafadhali mtu unapoweka picha hakikisha umeikuza na inaonekana vizuri. Sio kuweka tu ilimradi umeweka.
Tafadhali mtu unapoweka picha hakikisha umeikuza na inaonekana vizuri. Sio kuweka tu ilimradi umeweka.
Chelenje JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 552 Reaction score 23 Jan 20, 2011 #9 Ole wako ukutwe na tumbo la kuharisha...!!!tehe tehe teheeeeeeeeeeeee kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiii
Steve Dii JF-Expert Member Joined Jun 25, 2007 Posts 6,402 Reaction score 1,273 Jan 20, 2011 #10 Dina said: Walemavu na wagonjwa hawakuwemo kabisa kwenye plan ya mjenzi wa hiki choo! Click to expand... ....yawezekana kabisa hayo maplastiki kwa hapo chini yapo kikazi!! Kibs, aina hii vinafaa Zenji??!! lol
Dina said: Walemavu na wagonjwa hawakuwemo kabisa kwenye plan ya mjenzi wa hiki choo! Click to expand... ....yawezekana kabisa hayo maplastiki kwa hapo chini yapo kikazi!! Kibs, aina hii vinafaa Zenji??!! lol