Modern Toilet

Modern Toilet

Mpagama

Senior Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
127
Reaction score
7
Kwa matumizi ya binadamu, hiki ni choo bora au bora choo?
 

Attachments

  • 15.jpg
    15.jpg
    32 KB · Views: 265
Hapo sasa ukute umeshautwika mtindi ile kisawasawa lazima haja kubwa uimalizie nguoni.
 
hiki choo km upo keroro lazima umalizie shida yako hapo kwenye ngazi ya kwanza.......
 
Walemavu na wagonjwa hawakuwemo kabisa kwenye plan ya mjenzi wa hiki choo!
 
attachment.php


Tafadhali mtu unapoweka picha hakikisha umeikuza na inaonekana vizuri. Sio kuweka tu ilimradi umeweka.
 
Ole wako ukutwe na tumbo la kuharisha...!!!tehe tehe teheeeeeeeeeeeee kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiii
 
Walemavu na wagonjwa hawakuwemo kabisa kwenye plan ya mjenzi wa hiki choo!

....yawezekana kabisa hayo maplastiki kwa hapo chini yapo kikazi!!

Kibs, aina hii vinafaa Zenji??!! lol
 
Back
Top Bottom