Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Unajua nini Rose, kuna kitu ambacho wadada wa JF hamjakijua kwa wanaume wa JF, mkikijua haya yote yatabaki historia.
kitu gani hicho mnachokificha ficha.
Hebu semeni upesi tukijue.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua nini Rose, kuna kitu ambacho wadada wa JF hamjakijua kwa wanaume wa JF, mkikijua haya yote yatabaki historia.
Hehehehe unayajua lakini?
Maji mara moja kwisha kazi inaanza kuyageuza geuza unatia nyanya na vitunguu bila kusahau mafuta ya kulainishia
Yale mambo yetu yaleeee "ya pwani" Mkuu angalia usijeonjeshwa mambo ya pwani ukajasahau kwetu bara....
Viumbe hai visipokula hufa
ndio mafuta..... na pia hutiwa tui la nazi
aah ndio unakula hiyo kitu inamesa menzie daily jamani!
Baada ya kunikonyeza umeamua unipe ulimi kabisa... senkyu
ndio mafuta..... na pia hutiwa tui la nazi
tui la nazi latiwa maharage yakalibiapo kuiva.....unalimwagia kwa juu halafu unaliacha litokotee
Hiyo kahawa ipate mtoto kama huyu nadhani hata lala siku mbili....
Nachukulia kama utani tu!Hadithi za mtaani hizi!Jamani eeeh wapi Maty, Preta, Michelle, Lizzy, Dena Amsi, Bintimkongwe, shost na Digna37? maana kule kwenye maswala ya bikira walikuja juu sana sijui hapa watakuwa na mchango gani.
Ahhh jamani hamtaniwi?