Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,305
ndo mana unaitwa sokomoko na si kipepe...:frog:Sipati picha kina Rose wakiiona hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo mana unaitwa sokomoko na si kipepe...:frog:Sipati picha kina Rose wakiiona hii
hiloooooo
niliwaambia waskuzalilishe lakini wamesema hii itakuwa sredi ya mwisho. usjali!Halafu nyieeeeeeeee!
Mnasikia raha tu.
hehehe jana walikuwa wanaandamana kwenye sredi flani kwamba wanazalilishwa, wakiiona na hii nazani tutarajieni hunger straiki. dah!
taratibu poti, wakija wenyewe hapa watakuwa wakalii.
Au wewe upo kwenye 1970 : Love me, but don't touch me.?
:Cry::Cry::Cry:
umefikiria sana kaka
hehehe rose bana! jana wajanja wameiba jinzi yangu bana, yaani leo konsentreshen ni mgogoro kabisa. naomba hizo piliitonyatawashinda.
ntakupa pilton ulale....krolokwn znakupoteza...
basi mwaya ntakuletea chokoleti na maua rozi
hehehe rose bana! jana wajanja wameiba jinzi yangu bana, yaani leo konsentreshen ni mgogoro kabisa. naomba hizo piliiton
2015:touch me all bt dont do me
Ana yake huyo ndio maana ameingia kwa gia hiyo lol
kamanda, nakuachia hii sredi uhakikishe haipotezi mwelekeo. Leo nina concert ya kuzindua albam langu jipya linaitwa "mchizi soksi", hakikisha husninyo, rose, preta,tracy n.k hawazalilishwi. nitajaribu kuwasiliana na katibukata aspirin pia aje kusaidia usimamizi wa haki zao.nazani siku hiyo jukwaa la wakubwa litafurika