By the way who is this?
Huyu ni mtoto wa naibu waziri wa wizara ya viwanda na biashara Jane Mbene. Dadake ni mkurugenzi NNDF anaitwa Eunice huyu babake ni mmoja wa mabosi wa usalama ukitafuta jina Mahiga utamuelewa zaidi. Nadhani hatuhitaji kumjadili maana sioni alichokifanya kwa jamii mpaka tumjadili ila sababu unasema unamuadmire naomba nikuache na hilo maana it is too personal.
Huyu dada amesoma mbele siku moja niliwahi muona anahojiwa East Africa TV nafikiri kipindi cha wanawake live daahh ametisha shule nzuri na kampuni yake inafanya vizuri sana....
Yeah kuna siku alikuwa anahojiwa na joyce kiria.. mchapa kazi kaweza kutoa ajira kwa vijana, ame insipire watu wengine kujituma na kuwa wajasiliamali
Mkuu huyu ni profesa wetu wa nadharia ambaye picha zake zililetwa humu na matokeo ya sap.
mkuu wabongo wanapenda kuponda tuu sasa huyu dada yeye msafi sasa hawana cha kuongea, yaani wameshindwa ndoo maana wamejaa kwenye thread za akina daimond, penny na akina wema manji aaah sory mangeNashangaa Wabongo watu kama hawa hata comment hakuna ila ingekuwa Bi Sepetu hapa page hadi uvivu kusoma ! pichupichu News zinapendwaaaa , Mimi huyu Dada Namuadmire sana pamoja na exposure ya kusoma na kukaa Nje ya Nchi lakini anaonekana na Uzalendo wa Hali ya juu ..Mara nyingi naangalia Video zake napata kitu
hahaha kwa hiyo aanzishe thread jukwaa la siasa?? Kati ya jukwa ambalo sijawahi ingia ni hilo la siasaKama ulizani stori kama hizi jukwaa hili zitasomwa basi umepotea... kwanza cheki comment za watu... robo mstari, imezidi sana mitatu... ikifika minne hesabu ujumbe husika utaufahamu peke yako! Mwenyewe nimeishia ilipoandikwa Nyerere... nikajiuliza, Nyerere huku kaingiaje!!
pia kafanya kazi Eatv mwaka fulani hivi sikumbukiHuyu dada amesoma mbele siku moja niliwahi muona anahojiwa East Africa TV nafikiri kipindi cha wanawake live daahh ametisha shule nzuri na kampuni yake inafanya vizuri sana....
pia kafanya kazi Eatv mwaka fulani hivi sikumbuki
Hakuajiriwa eatv alikua nakipindi cha uchaguzi express live back 2010..btw ameolewa na anamtoto nadhani!