Modesta Lilian Mahiga

Modesta Lilian Mahiga

Huyu ni mtoto wa naibu waziri wa wizara ya viwanda na biashara Jane Mbene. Dadake ni mkurugenzi NNDF anaitwa Eunice huyu babake ni mmoja wa mabosi wa usalama ukitafuta jina Mahiga utamuelewa zaidi. Nadhani hatuhitaji kumjadili maana sioni alichokifanya kwa jamii mpaka tumjadili ila sababu unasema unamuadmire naomba nikuache na hilo maana it is too personal.

Mimi mwenyewe nimeuliza wananiambia ni google!!! tukianza kujadili watoto wa viongozi wote si tutakesha humu.
 
Huyu dada amesoma mbele siku moja niliwahi muona anahojiwa East Africa TV nafikiri kipindi cha wanawake live daahh ametisha shule nzuri na kampuni yake inafanya vizuri sana....
 
Huyu dada amesoma mbele siku moja niliwahi muona anahojiwa East Africa TV nafikiri kipindi cha wanawake live daahh ametisha shule nzuri na kampuni yake inafanya vizuri sana....

Yeah kuna siku alikuwa anahojiwa na joyce kiria.. mchapa kazi kaweza kutoa ajira kwa vijana, ame insipire watu wengine kujituma na kuwa wajasiliamali
 
Kwa bahati mbaya vibinti badala ya kujifunza au kuwa na role model kama wasichana hawa wanabaki kuiga kwa akina Wema, Mange and the likes.

Kibaya zaidi hata hawa wwnaojiita wasichana wasomi nao wapo kwenye mkumbo!!
 
Nashangaa Wabongo watu kama hawa hata comment hakuna ila ingekuwa Bi Sepetu hapa page hadi uvivu kusoma ! pichupichu News zinapendwaaaa , Mimi huyu Dada Namuadmire sana pamoja na exposure ya kusoma na kukaa Nje ya Nchi lakini anaonekana na Uzalendo wa Hali ya juu ..Mara nyingi naangalia Video zake napata kitu
mkuu wabongo wanapenda kuponda tuu sasa huyu dada yeye msafi sasa hawana cha kuongea, yaani wameshindwa ndoo maana wamejaa kwenye thread za akina daimond, penny na akina wema manji aaah sory mange
 
Kama ulizani stori kama hizi jukwaa hili zitasomwa basi umepotea... kwanza cheki comment za watu... robo mstari, imezidi sana mitatu... ikifika minne hesabu ujumbe husika utaufahamu peke yako! Mwenyewe nimeishia ilipoandikwa Nyerere... nikajiuliza, Nyerere huku kaingiaje!!
hahaha kwa hiyo aanzishe thread jukwaa la siasa?? Kati ya jukwa ambalo sijawahi ingia ni hilo la siasa
 
Huyu dada amesoma mbele siku moja niliwahi muona anahojiwa East Africa TV nafikiri kipindi cha wanawake live daahh ametisha shule nzuri na kampuni yake inafanya vizuri sana....
pia kafanya kazi Eatv mwaka fulani hivi sikumbuki
 
ukisema kioo cha jamii ndiyo hawa......
 
Back
Top Bottom