Modesta Lilian Mahiga

Modesta Lilian Mahiga

EUfundedtroll

Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
14
Reaction score
13
Modesta-.jpg



Huyu sister namzimia kichizi ( I can also confess I'm secretly in love with her).

Kaenda shule na ana akili na hana mambo kama ya hawa dada zetu wengine wa mjini ktaka u sloopu tuuu.

I wish tungekuwa na akina dada kama hawa wengi hapa bongo

I just hope anawa inspire akina dada wengine

Tazama kampuni yake

Who We Are
 
This woman is my ideal woman

toka asubuhi natazama video zake

lakini wanawake kama hawa sijajua kwa nini huyu hakuingia kwenye public service kama baba yake
 
This woman is my ideal woman

toka asubuhi natazama video zake

lakini wanawake kama hawa sijajua kwa nini huyu hakuingia kwenye public service kama baba yake

Huyu kuingia kwenye siasa labda hajataka

network anayo lakini anaonekana ana mambo ya kizungu mno na siasa za kwetu huyu sidhani kama ataweza fitna na kona kona
 
Nashangaa Wabongo watu kama hawa hata comment hakuna ila ingekuwa Bi Sepetu hapa page hadi uvivu kusoma ! pichupichu News zinapendwaaaa , Mimi huyu Dada Namuadmire sana pamoja na exposure ya kusoma na kukaa Nje ya Nchi lakini anaonekana na Uzalendo wa Hali ya juu ..Mara nyingi naangalia Video zake napata kitu
 
hongera zake i like her too
wadada km hawa ndo mifano yetu
 
Kama ulizani stori kama hizi jukwaa hili zitasomwa basi umepotea... kwanza cheki comment za watu... robo mstari, imezidi sana mitatu... ikifika minne hesabu ujumbe husika utaufahamu peke yako! Mwenyewe nimeishia ilipoandikwa Nyerere... nikajiuliza, Nyerere huku kaingiaje!!

Unajua kuna watu hawajui dhima ya majukwaa.Wao wanadhani majukwaa yote ni siasa.
 
Nataka kujua kafanya nini? mwanamuziki, muigiyaji, mwanasiasa, daktari au....? kinachosababishwa ajadiriwe ni nini?

Ingia google.com andika jina lake utafahamu hapa tutajaza thread...
 
Huyu ni mtoto wa naibu waziri wa wizara ya viwanda na biashara Jane Mbene. Dadake ni mkurugenzi NNDF anaitwa Eunice huyu babake ni mmoja wa mabosi wa usalama ukitafuta jina Mahiga utamuelewa zaidi. Nadhani hatuhitaji kumjadili maana sioni alichokifanya kwa jamii mpaka tumjadili ila sababu unasema unamuadmire naomba nikuache na hilo maana it is too personal.
 
Back
Top Bottom