Erotica huyu Ambitious ndo vizuri ili asiweze tena kurusha za kwake na Mwana Mtoka Pabaya ni vizur akunange manake ndio kawaida ya baba wakwe. akikupenda ataomba unyumba bure.
FL1 Nimejitokeza mamio nambie..........majukumu yamekuwa mazito dear nipo tu Me Love you so much
BADILI TABIA hapo ndio mpango mzima! ila inabdi kwanza nipate mme.Erotica,
ndo utuambie tujipange hivyo, sarw ya kitchen pati, sare ya sendoff na harusi bila kusahau kibao kata......
Eroticah, naomba uji wa kungu usikosekane siku ya hina, kibao kata na haswa kitchen party, ile makitu inahusika sana hatutaki ukatutie aibu, mie nimejitolea kuleta kungu lile originali la comorro, tunalimix na la zenji! na baada ya shughuli nzima uniPM kunijulisha Paxman alilionaje na matokeo yalikuaje. salamu zangu spesho kwa master wangu YM, popote alipo habiby wangu. ujumbe kula polepole, ukila kwa pupa utapaliwa! salamu nyingi za leo kwa mashosti wa humu ndani wa ukwee nikianza na kungwi wangu kongosho-ujumbe jinoe vema kungwi nakutegemea! sweetlady-ucheshi wako na mpango mzima wa kuweka ma-like bila hiyana ndio umenifanya nikujue haraka, mwali, zinduna, queenkami, smile, firstlady1, mwanajamii1, cute, preta, cantalisia, kipipi na wengine wote, ujumbe huwa wanasema wakina dada hatupendani, ila mi nimeproove wrong kwa wadada wa jf! nawapendaje sasa??!
Darling jisikilize mwenyewe na moyo wako kama unajisikia kuiupload sawa tu....mie si nishakuruhusu kufanya chochote unachojisikia juu yangu ila tu kiwe cha kumpendeza Mungu..... Mimi penda wewe sana klorokwini yaani hakunaga kama wewe honey.:mwaaah::mwaaah::mwaaah:
hehehe kwa post hii leo lazima niingie homu na helikopta kama daimond
:A S cry: :A S cry: :A S cry: :A S cry::A S cry:sweetlady naona unajishaua kwel na my loya huzband. wengine ambao nimewaruhusu watampata lini?
kumbuka nimekwazima tu! mwanamke naona ushajisahau, hata kama ni open marriage
haiendagi hivo. na mtindo wa kumwambia klorokwini azime simu akiwa nawewe ufe!
klorokwini Ujue siku hizi kazi ya uimbaji old is goldi nimeacha, biashara hailipi, Mashauzi kaua soko :sleepy:
Lakini kwa wewe nakuchagulia wimbo unaitwa "Elina" .....😛
FirstLady1 ......Mwaya asante kwa salam, busy kama nini, si unajua mambo ya chapati tena! :evil:
Khaaaa! mama lao umeanza lini mawivu aya.sweetlady naona unajishaua kwel na my loya huzband. wengine ambao nimewaruhusu watampata lini?
kumbuka nimekwazima tu! mwanamke naona ushajisahau, hata kama ni open marriage
haiendagi hivo. na mtindo wa kumwambia klorokwini azime simu akiwa nawewe ufe!
Hehehe......afu helikopta linatua kitandani.....lol
Hehehe hayo ndio maneno sasa lol.....zermeda ni jinsia gani honey?sasa mwalim Gaijin sasa si ilikuwa uweke japo kabeti kamoja ka hako elina halaf , heehehehe hapo mashauzi kauwa soko apo
Khaaaa! mama lao umeanza lini mawivu aya.
halaf wewe unanikaribisha kwa wimbo kama mchezo wa kihindi vile. hehehe mtoto wa kwanza lazima tumwite zarmenda
Hehehe hayo ndio maneno sasa lol.....zermeda ni jinsia gani honey?
Zarmenda si ni yule Kanumba wa India, ni mwanaume ..... Tukipata kajike tutakaita russianroulette
sh sh sh sh, ongea polepole, niPM nikujuze, una kazi haswa! ebo!
:A S cry: :A S cry: :A S cry: :A S cry::A S cry:
sasa mwalim Gaijin sasa si ilikuwa uweke japo kabeti kamoja ka hako elina halaf , heehehehe hapo mashauzi kauwa soko apo
Khaaaa! mama lao umeanza lini mawivu aya.
halaf wewe unanikaribisha kwa wimbo kama mchezo wa kihindi vile. hehehe mtoto wa kwanza lazima tumwite zarmenda