klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Loya ni faifu star, sasa kuna wengine wanaomba appointment wakati wamevaa skin taiti imetoboka mapajani! au wengine wanakuja na raba za shambani ofisini kwa loya. nyambaaf!kuna watu wameomba appointment kwako unawarusha, wana kompleni. hasa mie nifanyeje?
Na inakuwaje unanuna wakati uko close to me?:hug::hug:.......hahahaha eti kanumba wa india lol.....nimecheka wakati nilikuwa nimenuna daah.
Loya ni faifu star, sasa kuna wengine wanaomba appointment wakati wamevaa skin taiti imetoboka mapajani! au wengine wanakuja na raba za shambani ofisini kwa loya. nyambaaf!
teh teh the. naona wamekuwa wengi sana. nitaanza kupima ubora hiyo kazi imekushida.
at the moment wacha sweetlady ajilie vyangu. teh teh teh. ukiwa naye usiwe unazima simu basi.
mamito ujue wewe ukilia kwangu vitavunda? heb smaili basi nawewe!
Na inakuwaje unanuna wakati uko close to me?
Dedication.
Nimesahau wimbo lakini nikiukumbuka tu nitakuwekea hapa laiv
Loya ni faifu star, sasa kuna wengine wanaomba appointment wakati wamevaa skin taiti imetoboka mapajani! au wengine wanakuja na raba za shambani ofisini kwa loya. nyambaaf!
hehehe haka ka sweetlady yaani wee acha tu. Alokaumba akakapatia na haka kautamu basi anastahili aabudiwe kila siku. Naona kama nitarudi baada ya wiki 2 huko, simu sjazima lakini katika zile purukushani za usiku nilijikuta nimeitafuna betri ya simu. Nitanunua mpya halaf nitakutext

Hahahahahah.......i love you vile tu umesema ukweli.....leo nilivyojiandaa usipoangalia utamalizia kuitafuna na hiyo simu.....
Erotica utajibebelea mwaka huu.....hizo wiki mbili amesema tu kukupa faraja ila utasubiri sana lol...

hehehe tena ajibebe na vin diesel manake namimi apa ndio nishapark hamna kuondoka. Wahenga walsema nyama mbichi haionjwi kabla kupikwa, sasa mimi nimejfanya kuionja heheheh balaa
Sheria namba 4 mkwaju a ya open marriage inaeleza ....." mwenza ni lazima amjulishe mwenzie anatoka na nani ili kuangalia usalama wa kiafya nakazalika"........ sasa mbona wewe hauelezi uko na nani? unavunja katiba Erotica .....nitaripoti kwa modsteh teh teh. my loya najua lazima patamu ulipo. u neva seto for less hilo najua. uzuri hapa utarudi tu!
hayo mambo ya kutext iwe kesho tena, mupenzi wa leo ana wivu wa kijinga kweli hali yeye ndie mpangaji.
Half tym huwa tunakuwa busy kufanyiana massage ili tukianza kipindi cha pili kila mmoja aondoke na mabao ya ushindi....narudia tena mabao sio bao la! Upo hapo Erotica?.....kuwasha simu itakuwa ngumu sana.nakuonea huruma wewe hapo. mie kujibeba siwezi,
sili mboga moja mie nabadilisha mamito. hizo wik 2 nina
Ndahani, Kaunga, Paxman. kwa raha zangu. ila sim wajameni. nyie hamna half tym?
hehehe tena ajibebe na vin diesel manake namimi apa ndio nishapark hamna kuondoka. Wahenga walsema nyama mbichi haionjwi kabla kupikwa, sasa mimi nimejfanya kuionja heheheh balaa
Sheria namba 4 mkwaju a ya open marriage inaeleza ....." mwenza ni lazima amjulishe mwenzie anatoka na nani ili kuangalia usalama wa kiafya nakazalika"........ sasa mbona wewe hauelezi uko na nani? unavunja katiba Erotica .....nitaripoti kwa mods
Half tym huwa tunakuwa busy kufanyiana massage ili tukianza kipindi cha pili kila mmoja aondoke na mabao ya ushindi....narudia tena mabao sio bao la! Upo hapo Erotica?.....kuwasha simu itakuwa ngumu sana.
Dah! kwa hali hii kweli tunahitaji katiba mpya.sheria na 7.5 mwenza haitakiwi akae na mpenzi mbadala zaidi ya siku
tatu ikivuka hapo mkataba ni kuwa tayari hio ni nyumba B iwe me ama ke.
mie nashindwa kuripoti niko na nani, usiku mmoja huwa natumia wa 2 or wa3,
hakuna anae weza fikia nguvu zako unazozitumiaga usiku mmoja kwangu.
Dah! kwa hali hii kweli tunahitaji katiba mpya.
Halaf unanipandisha jazba sasa, watatu? khaaa! sasa hiyo ni open marriage au daladala marriage? . Think! Erotica think!