BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Pia napenda kutum salamu zangu za upendeleo kwa Amyner Cantalisia Kabakabana beibe nasty charminglady BAGAH sweetlady EMT TANMO cacico Kipipi Boflo Nicas Mtei Remmy klorokwini Kaizer Rejao
Dah na wengine wote bila kuwasahau Mods walioko mtamboni na Kaunga Yummy YNNAH
Jukwaa la Salamu limeanzia kwenye huu unzi.
Napenda kutuma salamu kwa Kadakabekile anayetumikia bann ya mwenzi 1.pamoja na Basluma original bila kusahau wanachit chat mnaotumikia Jf kwa umakini na kufuata kanuni.
Mungu awajalie ili mpate mawazo mengi.
ujumbe mods, ban sio issue , sometimes wapotezee tu,...
mawazo mengi? Duh
Napenda kutuma salamu kwa Matola, The Boss, BAK kutoka Igoma maeneo ya watu wazito, mie ni Nzegembe wa nzegembe toka Igoma meneo ya watu wazito sababu jana mlinitafsiria ule wimbo kabla sijatuma salamu RFA
BADILI TABIA, napenda kutuma salamu kwa avatar yako, mie ni Marichui
mie nitakua twin wako loh, wape salamu zangu ujumbe jf kiboko ya salaam
ujumbe mods, ban sio issue , sometimes wapotezee tu,...
Mawazo sio mengi kivile yanatokana thread ya bibi kizee kutaka dogo dogo kiukweli kanipa mawazo.
Haahahaaaa na kweli halafu naanza kukupita umri muda si mrefu coz naona we bado unaupenda ujana lol
Hahahahaaa BADILI TABIA kuna watu huwa wanafunguka balaa yan kuwanyuka ban inalazimu lol
Ujumbe:Karibu Dinner
Erickb52 salamu zimefika! nadhani wengi wamesalimiwa labda tu nimkumbuke chauro, zinduna na wangu wa ubani popote alipo my master, Young_Master!, ujumbe ukishikwa, shikamana! lolest!Pia napenda kutum salamu zangu za upendeleo kwa Amyner Cantalisia Kabakabana beibe nasty charminglady BAGAH sweetlady EMT TANMO cacico Kipipi Boflo Nicas Mtei Remmy klorokwini Kaizer Rejao
Dah na wengine wote bila kuwasahau Mods walioko mtamboni na Kaunga Yummy YNNAH
Napenda kutuma salamu kwa Kongosho.
Ujumbe, namuomba Kongosho awe wazi juu ya jinsia yake.
.
"LONELINESS IS THE MOST TERRIBLE POVERTY".
Hahahaa we unaitaka jinsia ya mwenzako ya nini?
Tumia yako au haukutoshi?
Hahahaaa natania lol Kongosho funguka mamaaaaaaa
Hahahahaaaa Kongosho hujui huyu nanii ni wa dot com?
nitakuacha unipite kwa kweli....
ujana una raha yake bwana.....
Hapa natafuta dawa ya kuondoa makunyanzi usoni...