Mods anzisheni jukwaa la salamu

Mi nawasalimia wote wa jukwaa la siasa.
 
Erickb52 salamu zimefika! nadhani wengi wamesalimiwa labda tu nimkumbuke chauro, zinduna na wangu wa ubani popote alipo my master, Young_Master!, ujumbe ukishikwa, shikamana! lolest!

Hahahaa sawa
namimi ngoja nishikamane aiseee nilikoshikwa
 
Napenda kutuma salamu za kwanza kwa mwandaaji wa shindano kubwa hapa jf Superman.
Ujembe: Umeshawalipa washindi, walikopa huduma hivi afu hawanlipi. Dedikesheni 'Nlipe nisepe wa yule mtoto wa morogoro"

Salamu za pili zimwendee loya klorokwini popote alipo.
Ujumbe: Njoo tusaidie kudai, ili tulipwe tusepe.
 
Last edited by a moderator:
Salam zangu zimwendee WAKUSOMA.Nimemiss sana.
 
Salamu zangu za dhati ziwafikie bagah, erickb52, msolid1990, bishanga, judgement, saint ivuga, mtambuzi, nicas mtei, junior cux, ruhazwe jr. Na ........ Lizzy, kongosho, firstlady, charminglady, sweetlady, ummu kulthum, mammamia, madame b, na wapenzi wote wa jf chitchat ujumbe hii ni wiki mbaya kwa cantalisia coz mumewe rejao kala ban ya 5days!
 
Na mie nakutumia salamu, ujumbe naomba hiyo simu inanitamanisha univalentaind dei.

Ujumbe: Rejao, mkutano wa jangwani tu unakupa ban?

 
Last edited by a moderator:
salamu spesho kwa kungwi wangu KONGOSHO lolest! ujumbe, potezea wa OMAN na meli zao, wanajitia tashtiti ili wafanane na sie! wapii mzee wa lubricants, yule wa zile jellys?? kongosho nikumbushe jina lake!
 

SALOK salamu
zimefika ila habari ya Rejao sio nzuri...lol
 
Last edited by a moderator:

jaman pole yake rejao na mkewe cnta! ee mola msaidie rejao arejee tena jf. tumemmic niaje!
 
napenda kumtumia salamu laadhidhi wangu kipenz sobhuza.
ujumbe. fanya fasta ukasusuu ili upate kulala ucje susuu kitandani!
 
Last edited by a moderator:
Madame B mbna unatutisha,sa tukija dar tutajirusha wapi?
charminglady ondoa shaka,ukitua tu Ubungo ni PM nikufate,mana kuna ka-Klabu kamoja hv kamezinduliwa pale Komakoma,takupeleka.
Au utatuia MNIA Kipawa?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…