Salamu zangu za dhati ziwafikie bagah, erickb52, msolid1990, bishanga, judgement, saint ivuga, mtambuzi, nicas mtei, junior cux, ruhazwe jr. Na ........ Lizzy, kongosho, firstlady, charminglady, sweetlady, ummu kulthum, mammamia, madame b, na wapenzi wote wa jf chitchat ujumbe hii ni wiki mbaya kwa cantalisia coz mumewe rejao kala ban ya 5days!
Pia napenda kutum salamu zangu za upendeleo kwa Amyner Cantalisia Kabakabana beibe nasty charminglady BAGAH sweetlady EMT TANMO cacico Kipipi Boflo Nicas Mtei Remmy klorokwini Kaizer [MENTION=
Dah na wengine wote bila kuwasahau Mods walioko mtamboni na [USER=32630]Kaunga[/USER] Yummy YNNAH
Napenda kutuma salamu kwa Matola, The Boss, BAK kutoka Igoma maeneo ya watu wazito, mie ni Nzegembe wa nzegembe toka Igoma meneo ya watu wazito sababu jana mlinitafsiria ule wimbo kabla sijatuma salamu RFA
BADILI TABIA, napenda kutuma salamu kwa avatar yako, mie ni Marichui
Hahaaa thante thana....Angalau nimekumbukwa..... Asante Erickb52 mmmwaaaaaaaa
Nami pia nakusalimi Kongosho asali ya ODM. Ujumbe ukijisikia kuwashwa sehemu ambayo huwezi kupakuna, njoo nikuazime kucha.
Umbea..........!:crazy:
Naongeza pasenti ya shea yako toka ten to twente faivu. Afu ukimwona Superman mwambie tukikutana tutatenganishwa na damu.Napenda kutuma salamu za kwanza kwa mwandaaji wa shindano kubwa hapa jf Superman.
Ujembe: Umeshawalipa washindi, walikopa huduma hivi afu hawanlipi. Dedikesheni 'Nlipe nisepe wa yule mtoto wa morogoro"
Salamu za pili zimwendee loya klorokwini popote alipo.
Ujumbe: Njoo tusaidie kudai, ili tulipwe tusepe.
Umbea......!:der:Mie na Asprin huwa tunaharibiana.
Akiibuka na Mwaju mie nina hasani
Raha sana kuwa na Open relationship.
Mme niliyenaye kazi yake kujinywesha limbwata tu, hadi raha.
Asante sana shem wangu wa ukwe'ee Erickb52,salam zimefika japo folen imezichelewesha lol!Pia napenda kutum salamu zangu za upendeleo kwa Amyner Cantalisia Kabakabana beibe nasty charminglady BAGAH sweetlady EMT TANMO cacico Kipipi Boflo Nicas Mtei Remmy klorokwini Kaizer Rejao
Dah na wengine wote bila kuwasahau Mods walioko mtamboni na Kaunga Yummy YNNAH
Asante sana SALOK,salam zimefika japo sio wiki mbaya kivile maana kiuhalisia Rejao wangu naye hapa ndio tumepumzika baada ya kupeana cha asubuhi so tuna miss kiJF JF tu!!!Salamu zangu za dhati ziwafikie bagah, erickb52, msolid1990, bishanga, judgement, saint ivuga, mtambuzi, nicas mtei, junior cux, ruhazwe jr. Na ........ Lizzy, kongosho, firstlady, charminglady, sweetlady, ummu kulthum, mammamia, madame b, na wapenzi wote wa jf chitchat ujumbe hii ni wiki mbaya kwa cantalisia coz mumewe rejao kala ban ya 5days!
Shem wala usiwe na hofu Darling wangu Rejao yuko poa kbs,anakupa hi za kutosha soon he will be back!
Hahahaaa upo wa kutosha.....kitu Baga ya ukweli....unajua ya wapi? lol ntakuambia kesho
charminglady ondoa shaka,ukitua tu Ubungo ni PM nikufate,mana kuna ka-Klabu kamoja hv kamezinduliwa pale Komakoma,takupeleka.
Au utatuia MNIA Kipawa?
Pia napenda kutum salamu zangu za upendeleo kwa Amyner Cantalisia Kabakabana beibe nasty charminglady BAGAH sweetlady EMT TANMO cacico Kipipi Boflo Nicas Mtei Remmy klorokwini Kaizer Rejao
Dah na wengine wote bila kuwasahau Mods walioko mtamboni na Kaunga Yummy YNNAH
napenda kutuma salama kwa jmushi1 Ndahani na Mzee Mwanakijiji popote walipo
Ujumbe Tukumbukane kwa salam
salamu zangu ziwafikie wana uamsho wote waliopo Mwanakwerekwe, Mchambawima, Kibanda maiti, Mferejini
Salamu zangu ziwafikie wana Jf woote mnaopenda kujirusha kwenye ma-Club,
Kwani Club Billicanas na Maisha Club zitageuzwa Lodge kuanzia tar 17/05/2012.
Source:ap french
Oh my darling sweet mjukuu Cantalisia, nimezipokea salamu zako kwa upendo. Hebu come this way......... weekend hii ntakununulia pipi tamu.Orait,salam zangu za kwanza nimfikie mme wangu kipenzi Rejao akiwa hapa pembeni yangu,mwaaaaa darling wangu,
Bila kuwa sahau mashemeji zangu wapendwa Kaizer Erickb52 BAGAH Nicas Mtei Judgement,
Maswahiba wangu Mphamvu SALOK sobhuza TANMO MUSSOLIN,@Exellent EMT,klorokwini@uporoto1,Mr Rock Fidel80 The Finest kashengo na wengine wote wa chit chat na MMU,
Mababu Asprin Darkcity Bishanga na baba yangu Mtambuzi,
Madada na mawifi @Ashadii KING'ast sweetylady FirstLady Preta Mamndenyi kipipi Smile Kongosho Kaunga Kabakabana BADILI TABIA charminglady qeenkami Zinduna na wengine wooooooooooooooooooooooote