Orait my darling babu Asprin,here i am,pipi iwe ya kijiti tafadhali lol!Oh my darling sweet mjukuu Cantalisia, nimezipokea salamu zako kwa upendo. Hebu come this way......... weekend hii ntakununulia pipi tamu.
Orait,salam zangu za kwanza nimfikie mme wangu kipenzi Rejao akiwa hapa pembeni yangu,mwaaaaa darling wangu,
Bila kuwa sahau mashemeji zangu wapendwa Kaizer Erickb52 BAGAH Nicas Mtei Judgement,
Maswahiba wangu Mphamvu SALOK sobhuza TANMO MUSSOLIN,@Exellent EMT,klorokwini@uporoto1,Mr Rock Fidel80 The Finest kashengo na wengine wote wa chit chat na MMU,
Mababu Asprin Darkcity Bishanga na baba yangu Mtambuzi,
Madada na mawifi @Ashadii KING'ast sweetylady FirstLady Preta Mamndenyi kipipi Smile Kongosho Kaunga Kabakabana BADILI TABIA charminglady qeenkami Zinduna na wengine wooooooooooooooooooooooote
Oh my darling sweet mjukuu Cantalisia, nimezipokea salamu zako kwa upendo. Hebu come this way......... weekend hii ntakununulia pipi tamu.
Nikimalizana naye, nawewe uje. Ila ubadili hiyo avatar yako sawa dada@badili tabiawe we weeee babu, mbona unamwita mjukuu vichochoroni...
Hahaaa thante thana....
Mkononi mwangu nina kadi ya CHIT CHAT SALAAM CLUB, kwa pamoja wanatuma salamu kwa wanachama wote wa JF..ujumbe:...
Asprin Nyie hamkawii kubaka nyie........LOLOh my darling sweet mjukuu Cantalisia, nimezipokea salamu zako kwa upendo. Hebu come this way......... weekend hii ntakununulia pipi tamu.
Umelipenda busu langu Erickb52? Sweet eheee
Napenda kurudisha salamu nyingi kama mchanga wa bahari kwa wale wote walionitumia salamu ambao si wengine bali ni BAK, Erickb52, Cantalisia aka Mrs Salvadozi na wengine; pia naomba kuvurumisha salaam kwa wana MMU wote, wadada na wakaka, wana Chit chat wote na hata wale wa ukubwani.
Ujumbe
Tukumbukana kwa salaaamuuuuu!
Asprin nakushauri umnunulie pipi ya kijiti ndio tamuuuu kuliko zoteOh my darling sweet mjukuu Cantalisia, nimezipokea salamu zako kwa upendo. Hebu come this way......... weekend hii ntakununulia pipi tamu.
Shem wangu usijali Amyner hajambo...ana raha sana kunikuta mzima.....Vipi nasikia Rejao kaenda likizo ya siku tano...hujaambatana nae?
Asante kwa salamu Erickb52 nami pokes salamu zanguPia napenda kutum salamu zangu za upendeleo kwa Amyner Cantalisia Kabakabana beibe nasty charminglady BAGAH sweetlady EMT TANMO cacico Kipipi Boflo Nicas Mtei Remmy klorokwini Kaizer Rejao
Dah na wengine wote bila kuwasahau Mods walioko mtamboni na Kaunga Yummy YNNAH