Hahahaha sweetlady hapo nilipobakiza nahitaji ufafanuzi zaidi......Salamu za upendo ziwafikie hawa wafuatao;
1. klorokwini - my asali wa moyo
5. Asprin - babu mpenda wajukuu
6. Bishanga - shemeji angu kipenzi ila pia ni mwizi wa wake za watu
16. nitonye - ???????
17 Vin Diesel - mume mtarajiwa- klorokwini akija atafafanua zaidi!
Erickb52 , mbona inajieleza vizuri.....najua umeelewa ila unajifanya hujaelewaKwani ni uongo kuwa Asprin hapendi wajukuu?.....je sio kweli kwamba Bishanga ni mwizi wa wake za watu?.... Vin Diesel ni mume mtarajiwa wa sweetlady....... nitonye ntafafanua kwa kirefu baadae......umeelewa sasa eeh!.... klorokwini ni asali wa moyo wangu hilo hata mume mtarajiwa analijua na kulielewa vizuri.Hahahaha sweetlady hapo nilipobakiza nahitaji ufafanuzi zaidi......Kwanza huyo klorokwini sielewii kabsaaaaaPili nitonye imekuwaje?Tatu Van Diesel Mume mtarajiwa kwa nani? Na Kloro je?Mwisho kama ningekuwa Bishanga au Asprin ningeandaa maandamano ya hiari kupinga kauli yako....lol
BAGAH mie kwenye hiyo list ya waliokuloga nitoe kabisaaaa manake sihusiki ......ulale unono pia shemeji mpendwa....amani iwe kwenu nyote,nitaleta tafrani nikiwataja kwa majina...maana sikawii kumsahau mtu!
ujumbe:mbona mmetangulia stendi wakati nauli ninayo mimi?
naomba kupigiwa vibao vifuatavyo...
1..mabati ya chapa simba ni simba dumeeee x2
2..madam rita fungua njia kitoto chaanza tambaa...sijui nini na nini huko mbele sifaham(tangazo la BSS)
3..mtandao huu nimsimulie naniii...maneno haya nimhadithie nani...(tangazo la zantel)
mlale unono...
NB: Erickb52 Nicas Mtei sweetlady na Cantalisia mmeniloga...
Rejao hao dawa yao kuwagonga na Radi ya jero tu....nimeanza biashara ya kuuza radi kama unahitaji nambie na unataka imfanyaje....hata ukitaka imkate nanii peke yake inaweza....Hee...nipo live jamani...Kuna nanihi mmoja namsaka mtaani, hakianani tena nikikutana naye!! SALOK, Erickb52, Kongosho na my wife Cantalisia....hebu nichagulieni adhabu anayostahili!!
Mie napenda kuwatumia salamu Keren_Happuch, WomanOfSubstance, Michelle, BelindaJacob, @BlakiWoman, Mbu, jmushi1, JG, Vaislay, MziziMkavu, Kongosho, Kaunga, Peasant, Wapenzi wote wa Arsenal, MANU, MANC na Cheslea....ujumbe mkiona taa inawaka mjue mafuta yanateketea 🙂 Ningependa wote waburudike na kipande hiki cha muziki.
klorokwini, nakutumia salamu kutoka hapa Papua new guinea.
Ujumbe: uache kuvaa kaptura wakati unatembelea tuthpik
Hebu jaribu kwa deskimeti wake klorokwini.
Ikishindikana kwa roommate wake Ambitious.
Ikishindikana kabisa kwa mtalaka wake Saint Ivuga
Dah! deskimet hajaonekana shule wiki ya tatu sasa, labda aulizwe nyani ngabu
Hebu jaribu kwa deskimeti wake klorokwini.
Ikishindikana kwa roommate wake Ambitious.
Ikishindikana kabisa kwa mtalaka wake Saint Ivuga