Nami zazipokea salam zako kwa dhati kabisa na kukupongeza kwa kupewa chata la premium member. Lol...........naomba nijipendekeze nije nikufunde ndani wakati wa kusubiria harusi na pia siku ukiwa mjamzito nikufunde "kikoa" nafikir hapa Zinduna atanisaidia. ukikubali ni pm nikuandikie vifaa vya kununua kwa ajili ya kazi iyo.
mwambie somo wako Mwali hilo kwani ndo atakuwa mleta habari kwetu, na siku ya mahari yako basi Asprin, Mbu EMT Darkcity ndio wapokee.
AshaDii MwanajamiiOne@firstlady hawa watakuwa ndio mama zako, wakati Preta, KongoshoSmile na shostito Kipipi hawa watakuwa wacheza show wako.
Ambitious MziziMkavu Mwanamtokapabaya Bishangahawa watakuwa wazee wenyewe yaani wakwe zako wa kiume so uwaheshimu sana sana hawa.
mama mkwe ni nani vile Lizzy, @roussianroullete@ hawa ni noma manake hawabebeki lol.................. jitahd sana juu yao hawa manake ni gunia la misumari hawabebeki hawa.
mawifi zako ni Kaunga charminglady Cantalisia hawa na wenyewe ni debe lenye makaa ya moto lol.......... sijui utafanyeje.
Mr Rocky atakuwa MC, boss EMT na Ndahani hawa ndo ma DJ wetu wa siku hiyo.
msasambuaji atakuwa Kongosho. wengine watakuwa wageni waalikwa tu kama akina Paw etc
haha klorokwini
nashukuru kwa salam zako sasa nataka nitume thread changia FL1 angalau na mie maisha yawe bora siku moja mkiweka hapo 1000@ memba 30,000 jamani si mmeokoa jahazi na mtapata thawabu..:A S cry:
Nimechoka kila siku kukimbizana na wateja wanaondoka bila kunilipa,supu na chakula wanachokula
wale wanaokula kwa bili mwisho wa mwezi siwaoni..
Faida yenyewe ndogo napiga hatua tano mbele narudi hatua mia mbili nyuma
yaani mie jamani.. AshaDii nakumiss na nakutumia salama za upendo. Nyamayao missing you very bad bht your my bestlady Pearl love u sisy Erotica.. nasubiri 30 itimie niwe kungwi Ndahani ..(......)ukipenda boga penda na ua lake..amen RR ...please don't be like that.. Fidel80..Mambo ya kanga moko inabidi ustaafu Dena Amsi ulipo jitokeze .... EMT ..salam ni nusu ya kuonana Kabakabana...u mean a lot to me.
haha klorokwini
nashukuru kwa salam zako sasa nataka nitume thread changia FL1 angalau na mie maisha yawe bora siku moja mkiweka hapo 1000@ memba 30,000 jamani si mmeokoa jahazi na mtapata thawabu..:A S cry:
Nimechoka kila siku kukimbizana na wateja wanaondoka bila kunilipa,supu na chakula wanachokula
wale wanaokula kwa bili mwisho wa mwezi siwaoni..
Faida yenyewe ndogo napiga hatua tano mbele narudi hatua mia mbili nyuma
yaani mie jamani.. AshaDii nakumiss na nakutumia salama za upendo. Nyamayao missing you very bad bht your my bestlady Pearl love u sisy Erotica.. nasubiri 30 itimie niwe kungwi Ndahani ..(......)ukipenda boga penda na ua lake..amen RR ...please don't be like that.. Fidel80..Mambo ya kanga moko inabidi ustaafu Dena Amsi ulipo jitokeze .... EMT ..salam ni nusu ya kuonana Kabakabana...u mean a lot to me.
Mie napenda kuwatumia salamu Keren_Happuch, WomanOfSubstance, Michelle, BelindaJacob, @BlakiWoman, Mbu, jmushi1, JG, Vaislay, MziziMkavu, Kongosho, Kaunga, Peasant, Wapenzi wote wa Arsenal, MANU, MANC na Cheslea....ujumbe mkiona taa inawaka mjue mafuta yanateketea 🙂 Ningependa wote waburudike na kipande hiki cha muziki.
Erotica huyu Ambitious ndo vizuri ili asiweze tena kurusha za kwake na Mwana Mtoka Pabaya ni vizur akunange manake ndio kawaida ya baba wakwe. akikupenda ataomba unyumba bure.naona nimeshapata event organiser. :cheer2: teh teh teh. mwaaaaaaah!
ila Ambitious tuna mchongo hawezi kuwa mkwe. utaua bendi.
na Mwana Mtoka Pabaya ananinanga sana kweli tutaiva?
Hahahaa klorokwini umenichesha na vijembe vyako lol eti mtu nakonda bila hata kadiet hahahaa asali wako wa moyo sweetlady kazi anayo...lol
msalimie Husny...
hehehe Erickb52 usifkiri anakonda ile kama bikidude, sio ile bana, anakonda kimodel model kama naomi cambellHahahaa klorokwini umenichesha na vijembe vyako lol eti mtu nakonda bila hata kadiet hahahaa asali wako wa moyo sweetlady kazi anayo...lol
msalimie Husny...
Kweli nimeamini kusutwa inakaribia kuwa suna kwa wanaume......yaani wewe kwenye salamu zote alizotuma klorokwini hiyo yangu tuuuu ndio imekuchekesha?.....
hehehe Erickb52 usifkiri anakonda ile kama bikidude, sio ile bana, anakonda kimodel model kama naomi cambell
Nimeifafanua tayari na ukiniruhusu nitaupload ile foto yako umepiga na skin taiti la kombat ya kijeshi
Darling jisikilize mwenyewe na moyo wako kama unajisikia kuiupload sawa tu....mie si nishakuruhusu kufanya chochote unachojisikia juu yangu ila tu kiwe cha kumpendeza Mungu..... Mimi penda wewe sana klorokwini yaani hakunaga kama wewe honey.:mwaaah::mwaaah::mwaaah:
Eroticah, naomba uji wa kungu usikosekane siku ya hina, kibao kata na haswa kitchen party, ile makitu inahusika sana hatutaki ukatutie aibu, mie nimejitolea kuleta kungu lile originali la comorro, tunalimix na la zenji! na baada ya shughuli nzima uniPM kunijulisha Paxman alilionaje na matokeo yalikuaje. salamu zangu spesho kwa master wangu YM, popote alipo habiby wangu. ujumbe kula polepole, ukila kwa pupa utapaliwa! salamu nyingi za leo kwa mashosti wa humu ndani wa ukwee nikianza na kungwi wangu kongosho-ujumbe jinoe vema kungwi nakutegemea! sweetlady-ucheshi wako na mpango mzima wa kuweka ma-like bila hiyana ndio umenifanya nikujue haraka, mwali, zinduna, queenkami, smile, firstlady1, mwanajamii1, cute, preta, cantalisia, kipipi na wengine wote, ujumbe huwa wanasema wakina dada hatupendani, ila mi nimeproove wrong kwa wadada wa jf! nawapendaje sasa??!
heheeh nilikuwa natania tu chwitii, siiupload ng'o, raha ya wewe nikuone pekeangu bana. Yaani kama ningekuwa na uwezo ningeanzisha JF mpya halaf memba tunakuwa mimi na wewe tu, halaf tunachat bila nguo.
yaani SWEETLADY I LUV U TOO GUYS, U R REALY PART OF ME NOWDAYS, KILA BAADA YA MUDA LAZMA NIPITE HUMU MKEKANI KUCHUNGULIA NIAJE??? SO PAMOKO SANA! MWAHHHHHHHHH SWEETLADY NA WADADA WOTE! WAKAKA WOTE WA JEI EFU GREATEST HUGS EVER!cacico msg yako imenitabasamisha lol.....tunakupendaje pia kipenzi??....yaani zaidi ya sana:hug::hug::hug:
yaani SWEETLADY I LUV U TOO GUYS, U R REALY PART OF ME NOWDAYS, KILA BAADA YA MUDA LAZMA NIPITE HUMU MKEKANI KUCHUNGULIA NIAJE??? SO PAMOKO SANA! MWAHHHHHHHHH SWEETLADY NA WADADA WOTE! WAKAKA WOTE WA JEI EFU GREATEST HUGS EVER!
Hehehehe......ishia hapo hapo honey manake kuna watu washaanza kutukodolea macho hapa.....watatuloga bure.....mengine ya moyoni utanambia ukija nyumbani!!!!.....usichelewe manake ndo namalizia kutia kitunguu swaumu na giligilani kwenye maji ya kuoga....leo sitaweka iliki wala mdalasini.
Rufaa niandike namba moja.salam zetu za tarehe moja mwezi wa sita ziwafikie wote waliowahi kutendwa na wapenzi wao..
za pili ziende kwa The Boss
FirstLady1
Rutashubanyuma
MziziMkavu
Na wote wanaonifahamu
Ujumbe ponda raha kufa kwaja ...