Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Ukiristu unafanywa kuwa dini hatarishi.Ungeniambia mapema ningewashughulikia.
Nakubali umekuwa mtetezi wa jukwaa hiliUngeniambia mapema ningewashughulikia.
Dah! Kabisa mkuu 🥲.Ukiristu unafanywa kuwa dini hatarishi.
🔥💪Nakubali umekuwa mtetezi wa jukwaa hili
Inawezekana Mods ni Waisilamu hivyo wasingependa kusikia neno Haki kutoka kwenye BibiliaDah! Kabisa mkuu 🥲.
Hilo nalo ni meno mkuu. Yawezekana neno wapendalo kulisikia ni mabikra 72 walioko peponi.Inawezekana Mods ni Waisilamu hivyo wasingependa kusikia neno Haki kutoka kwenye Bibilia
Ile Post niliikopi na kupesti bila ya mimi kuweka neno lolote languHilo nalo ni meno mkuu. Yawezekana neno wapendalo kulisikia ni mabikra 72 walioko peponi.
Rudia tena kuposti mkuu, labda Mods walikosea kufufa.Ile Post niliikopi na kupesti bila ya mimi kuweka neno lolote langu
Unabahati, lakini iling'olewa.Mbona mi naiona?
Haupo, nilianzia huko kabla ya kurudi hapa.Labda uzi umepelekwa jukwaa la dini. Jaribu kuangalia huko.
huenda maelezo yako kabla ya unachokiita nukuu za kwenye biblia tayari yalionyesha kufuru, mzaha, na kejeli ambazo zilikiua vigezo na masharti ya thread JF.Leo nikuweka Post inayohusu HAKI kwenye Bibilia kwa makusudi na nia ovu mkaiondoa, Bibilia si kitabu cha uchochezi kama mnavyodhani, ni kitabu Kitakatifu hivyo nukuu zake lazima ziheshimike kama zilivyo.
Ninawashauri muirejeshe ile Post kwa heshima ya Wakiristu.
Nimeanza kueleza hilo, nilikopi na kupesti Bibilia kama ilivyo, sikuandika chochote nikiogopa kupotosha maana sijasoma Bible School.huenda maelezo yako kabla ya unachokiita nukuu za kwenye biblia tayari yalionyesha kufuru, mzaha, na kejeli ambazo zilikiua vigezo na masharti ya thread JF.
na huenda nukuu zako zililenga kuumiza waamini na dini nyingine kwa makusudi kabisa 🐒