Mods kwa maombi ya dhati kabisa nawaomba unganisheni nyuzi zote zinazohusu wagombea kuchukua form

Mods kwa maombi ya dhati kabisa nawaomba unganisheni nyuzi zote zinazohusu wagombea kuchukua form

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Hii imekuwa toomuch sasa naomba uzi mmoja uwe LIVE kila uzi uunganishwe hapo.
AHSANTE.






Hizi ni baadhi tu ya nyuzi yaani iwapo kila mgombea ataanzishiwa uzi tutakuwa uzi ngapi Tz inakata mamia kama sio elfu kila diwani nae apandishiwe uzi haya kwa sasa kila mbumbe akichukua form anapandishiwa uzi.

Ebu lifanyieni kazi
 
Mbona mwanzo mwa nyuzi Kuna PRE GE2025 kuashiria ni za uchaguzi kwahiyo wewe ukiona unaweza kupita.... Kuunganisha tutashindwa kuwatambua watia nia
 
Back
Top Bottom