Mods naomba mumtandike Ban numbisa hata ya miaka mitano.

Allepo niliona umekula ban.

Ila mbona familia yangu naona bado haijatolewa. ?au wewe wamekufanyia upendeleo

Hahaha

wala si upendeleo nimedukua server za mods

hujui mimi ndo nimeidukua dunia nzima sasa wanakiban basi naondoka na jf yote
 
Wewe haiwezekani mpigwe ban na ndugu zangu halafu uwahi kutoka. Kama wewe mod wasaidie bwana. Au nimwite mod nimuulize kwanini anakupendelea wewe.

Inna, saint ivuga, ninja stunter, Joseverest, Jovitha wote siwaoni
 
Leo mods niambieni asubuhi mlinipiga ban mkaniambia mpaka may 19 mtaniachia

sasa kwa nini mliniacha kabla ya siku hiyo kufika?

nakata rufaa
Mi sijaambiwa na sijaachiwa mpaka saahiz
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Allepo niliona umekula ban.

Ila mbona familia yangu naona bado haijatolewa. ?au wewe wamekufanyia upendeleo
Afu bora yy kaambiwa mi hata cjui ntaachiwa ln na hata kosa langu tu cilijui
 
Wewe haiwezekani mpigwe ban na ndugu zangu halafu uwahi kutoka. Kama wewe mod wasaidie bwana. Au nimwite mod nimuulize kwanini anakupendelea wewe.

Inna, saint ivuga, ninja stunter, Joseverest, Jovitha wote siwaoni

Aaah upo mtaani kiongozi? Leo naona Banned zimetembea kwa wadau wengi nikajua na wewe upo nyavuni
 
Wewe haiwezekani mpigwe ban na ndugu zangu halafu uwahi kutoka. Kama wewe mod wasaidie bwana. Au nimwite mod nimuulize kwanini anakupendelea wewe.

Inna, saint ivuga, ninja stunter, Joseverest, Jovitha wote siwaoni

ahhh ah mods tena

usinikamatishe bana maana hawa mods nao hawaongeki kabisa

ile familia yako mpaka may 19 nazani wataachiwa
 
Wew umewatafutia ban wewe. Wewe umeombaje kuchomelewa? Kwa id nyingine au una namba ya max?

Acha roho mbaya bwana Allepo hao ndugu zako kama ulivyo kwangu
 
Wewe haiwezekani mpigwe ban na ndugu zangu halafu uwahi kutoka. Kama wewe mod wasaidie bwana. Au nimwite mod nimuulize kwanini anakupendelea wewe.

Inna, saint ivuga, ninja stunter, Joseverest, Jovitha wote siwaoni
Daby mbona mie hujantaja?
Au kwakuwa ni x wako basi ndio tushakuwa maadui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…