kibumbu
JF-Expert Member
- Mar 30, 2017
- 1,420
- 3,479
Avatar leo umenoga kweli.[emoji39] [emoji39]Hee kisa cha kunisahau?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Avatar leo umenoga kweli.[emoji39] [emoji39]Hee kisa cha kunisahau?
Avatar leo umenoga kweli.[emoji39] [emoji39]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] ban ya kuomba?Kwenu mods
Naandika post hii sio kwamba namchukia sana huyu bibie hapana ni rafiki yangu mzuri sana..
Yeye mwenyewe kwa vidole na akili yake ndio hua anataka Ban, mara nyingi amekua akiuliza jinsi gani ya kupata ban na kutukana anashindwa so namfikishia ombi lake kwenu..
Naombeni mumtandike hata ban ya muhura mmoja wa raisi 5yrs nahisi inamtosha sana
japo itanicost kiasi kikubwa kumpoteza.
kazi kwenu mods sasa..
Ahsanteni
[HASHTAG]#mondray2017[/HASHTAG]
Duh. Hio kibokoNdio ukiomba unapewa..
huyu wamemchoka hata afanye vurugu gani watamwacha tu..Allepo niliona umekula ban.
Ila mbona familia yangu naona bado haijatolewa. ?au wewe wamekufanyia upendeleo