Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja niwaombe mods waifuteJamaa anachokoza hadi dada ake,ile thread yako ipo ujue[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja niwaombe mods waifuteJamaa anachokoza hadi dada ake,ile thread yako ipo ujue[emoji3]
Asante mkuu kwa Mara ya kwanza nimeonja jera ya jfpole sana mkuu
Kwenu mods
Naandika post hii sio kwamba namchukia sana huyu bibie hapana ni rafiki yangu mzuri sana..
Yeye mwenyewe kwa vidole na akili yake ndio hua anataka Ban, mara nyingi amekua akiuliza jinsi gani ya kupata ban na kutukana anashindwa so namfikishia ombi lake kwenu..
Naombeni mumtandike hata ban ya muhura mmoja wa raisi 5yrs nahisi inamtosha sana
japo itanicost kiasi kikubwa kumpoteza.
kazi kwenu mods sasa..
Ahsanteni
[HASHTAG]#mondray2017[/HASHTAG]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]yap ila vya mabinti kama huyo kwenye avatar
Hahhayap ila vya mabinti kama huyo kwenye avatar
Nundu mzee, nundu ndo mpangoau ww unapenda tupi
Ebhana hatari hiyoMm napenda nundu za mbele kwanza kisha za nyuma
Hadi sa hivi sijui why nilipigwa banDuuh jirani ubarikiwe upendo wako ni kiwango cha juu
Huyo Allepo sina hamu naye kasababisha ukoo mzima tumepigwa ban
Ni pm.sidhan kama Numbisa anaweza chukia kwa hili
kwani si mwanamke kama wengine
[emoji3] [emoji3] juzi mods walikua wanahasira sijui mana ban zilimiminwa si mchezoHadi sa hivi sijui why nilipigwa ban
Masihala yalinoooga kuitana kwiiiingi mara ghafla"BANNED"[emoji3] [emoji3] juzi mods walikua wanahasira sijui mana ban zilimiminwa si mchezo
Kwan we hukuwepo kwenye ule uzi wa allepo? Ule ndo umetusababishia ban
[emoji3] [emoji3] [emoji3] stunter kaanzisha sahv uzi wa tuliopigwa ban mods wameufuta, naona wanapinga vikali undugu humu jfMasihala yalinoooga kuitana kwiiiingi mara ghafla"BANNED"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]NILIchooka hataree
[emoji15] [emoji15] wanapenda tuendelee kuitana mkuu tu baasi[emoji3] [emoji3] [emoji3] stunter kaanzisha sahv uzi wa tuliopigwa ban mods wameufuta, naona wanapinga vikali undugu humu jf
Uzi ulikuwa una sema he?[emoji3] [emoji3] juzi mods walikua wanahasira sijui mana ban zilimiminwa si mchezo
Kwan we hukuwepo kwenye ule uzi wa allepo? Ule ndo umetusababishia ban
"Hichi kinauzi hapa MMU" ila walishafuta comenti nyingiiiUzi ulikuwa una sema he?
Mimi huwa nakuwa kwenye nyuzi tofauti na kaZi yangu ni kutia fitna na kuchonganisha watu. Kuchokoza, kutania etc.
Ila mtu akinitukana nakasirika sana daaah!
Mm ulikuwa ndio ban yangu ya kwanza kwa Miaka karibia miezi tisa
Nilikusahau bibie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dogo bangi ya leo sio kabisa. Aliyekuuzia kakuweza kweli
Nilikusahau bibie