Mods naomba mumtandike Ban numbisa hata ya miaka mitano.

Mods naomba mumtandike Ban numbisa hata ya miaka mitano.

Kwenu mods
Naandika post hii sio kwamba namchukia sana huyu bibie hapana ni rafiki yangu mzuri sana..
Yeye mwenyewe kwa vidole na akili yake ndio hua anataka Ban, mara nyingi amekua akiuliza jinsi gani ya kupata ban na kutukana anashindwa so namfikishia ombi lake kwenu..
Naombeni mumtandike hata ban ya muhura mmoja wa raisi 5yrs nahisi inamtosha sana
japo itanicost kiasi kikubwa kumpoteza.
kazi kwenu mods sasa..
Ahsanteni
[HASHTAG]#mondray2017[/HASHTAG]

Staff Online Now
 
[emoji3] [emoji3] juzi mods walikua wanahasira sijui mana ban zilimiminwa si mchezo
Kwan we hukuwepo kwenye ule uzi wa allepo? Ule ndo umetusababishia ban
Masihala yalinoooga kuitana kwiiiingi mara ghafla"BANNED"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]NILIchooka hataree
 
Masihala yalinoooga kuitana kwiiiingi mara ghafla"BANNED"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]NILIchooka hataree
[emoji3] [emoji3] [emoji3] stunter kaanzisha sahv uzi wa tuliopigwa ban mods wameufuta, naona wanapinga vikali undugu humu jf
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] stunter kaanzisha sahv uzi wa tuliopigwa ban mods wameufuta, naona wanapinga vikali undugu humu jf
[emoji15] [emoji15] wanapenda tuendelee kuitana mkuu tu baasi
 
[emoji3] [emoji3] juzi mods walikua wanahasira sijui mana ban zilimiminwa si mchezo
Kwan we hukuwepo kwenye ule uzi wa allepo? Ule ndo umetusababishia ban
Uzi ulikuwa una sema he?
Mimi huwa nakuwa kwenye nyuzi tofauti na kaZi yangu ni kutia fitna na kuchonganisha watu. Kuchokoza, kutania etc.
Ila mtu akinitukana nakasirika sana daaah!
Mm ulikuwa ndio ban yangu ya kwanza kwa Miaka karibia miezi tisa
 
"Hichi kinauzi hapa MMU" ila walishafuta comenti nyingiii
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dogo bangi ya leo sio kabisa. Aliyekuuzia kakuweza kweli
Nilikusahau bibie
 
Back
Top Bottom