Mods naomba mumtandike Ban numbisa hata ya miaka mitano.

Mods naomba mumtandike Ban numbisa hata ya miaka mitano.

Kwenu mods
Naandika post hii sio kwamba namchukia sana huyu bibie hapana ni rafiki yangu mzuri sana..
Yeye mwenyewe kwa vidole na akili yake ndio hua anataka Ban, mara nyingi amekua akiuliza jinsi gani ya kupata ban na kutukana anashindwa so namfikishia ombi lake kwenu..
Naombeni mumtandike hata ban ya muhura mmoja wa raisi 5yrs nahisi inamtosha sana
japo itanicost kiasi kikubwa kumpoteza.
kazi kwenu mods sasa..
Ahsanteni
[HASHTAG]#mondray2017[/HASHTAG]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] ban ya kuomba?
 
Akipigwa ban sijui ntachekea wap tena
Eenyi mods jifanyeni hamjaona huu uzi ili kulinda furaha za watu
 
Back
Top Bottom