Mods naomba mumtandike Ban numbisa hata ya miaka mitano.

Haa haa aiseee kijana wa fesbuku mondary
Acha kumuombea mabaya huyu bibie numbisa unajua
Ameshakua addicted na jf

Akila,ban utamfanya akasaure saure fesibuku bila kupenda
 
Nipo mkuu ni siku kidogo.

Sikwepo bwana nimeingia nikakuta karibu ukoo wangu wote una ban. Mimi sijawahi kupigwa ban toka niingie humu sasa sijui siku nikipigwa nitajiskiaje
Weeee....!!! Usiombe ban linauma balaas
 
Wew umewatafutia ban wewe. Wewe umeombaje kuchomelewa? Kwa id nyingine au una namba ya max?

Acha roho mbaya bwana Allepo hao ndugu zako kama ulivyo kwangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]
 
Hata mm nafataga sheria ila Leo nimeonja ban banaa

Pole sana, mbona haukutoa taarifa mapema tukudhamini? Daby swahiba wangu huyo hana madhara, mwenyewe ushaanza kumuita X, kwani unataka kumbomoa? Ujue nyumba ikipigwa X ina maana uhame.
 
Haa haa aiseee kijana wa fesbuku mondary
Acha kumuombea mabaya huyu bibie numbisa unajua
Ameshakua addicted na jf

Akila,ban utamfanya akasaure saure fesibuku bila kupenda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
familia yako inaitaji bailout
Haha bailout ya nini sasa.

Hawa hapa.
STUNTER Sumbai saint Ivuga Jovitha Inna husna muba Joseverest .... ila wewe Allepo ban yako imekwisha mwambie aliyekuachia awaachie basi . Wakitoka mchukue Jovitha
 
Haha pole. Tuma text kwa max omba msamaha maana Allepo kapewa

Ohooo!!!

ban ukipigwa huwezi ingia maana inakuwa hivi

YOUR BANNED FOR THE FOLLOWING REASON: Matusi... wewe * ni bashite. YOUR BANNED WILL BE LIFTED ON MAY 19
 
Haha bailout ya nini sasa.

Hawa hapa.
STUNTER Sumbai saint Ivuga Jovitha Inna husna muba Joseverest .... ila wewe Allepo ban yako imekwisha mwambie aliyekuachia awaachie basi . Wakitoka mchukue Jovitha
Duuu mpaka sasa bado sijapAta jibu kwnn watu wote tupigwe ban pamoja!! Cjui tulikosea wapi?!!!
 
Niliwahi kula ban ya miezi 2 duu nilipata tabu.

Ns chanzo ni faizafoxy
 
Ohooo!!!

ban ukipigwa huwezi ingia maana inakuwa hivi

YOUR BANNED FOR THE FOLLOWING REASON: Matusi... wewe * ni bashite. YOUR BANNED WILL BE LIFTED ON MAY 19
Wewe umetokaje sasa?
 
Haha bailout ya nini sasa.

Hawa hapa.
STUNTER Sumbai saint Ivuga Jovitha Inna husna muba Joseverest .... ila wewe Allepo ban yako imekwisha mwambie aliyekuachia awaachie basi . Wakitoka mchukue Jovitha

hahahaha umeniachia Jovitha sasa apa hapa hapa sitaki huyu ndege wangu umletee mambo mambo ya ma mdogo, shemeji sawa

apa kwanza ndo nawaachia
 
Ohooo!!!

ban ukipigwa huwezi ingia maana inakuwa hivi

YOUR BANNED FOR THE FOLLOWING REASON: Matusi... wewe * ni bashite. YOUR BANNED WILL BE LIFTED ON MAY 19
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] mbona mie sijaambiwa km hivyo?! Imekuwa surprise tu nafungua kucheki kwenye avatar ndio nakuta wameniekea picha lao lile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…