MoDs piga ban wafuatao tafadhali:

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,075
Lizzy: For obvious reasons.
Erickb52
: Kwa kum cheat Amyner ,
Amyner: Kwa kum cheat Erickb52
The secretary
: Kwa kumkataa bishanga,unamkataa bishanga we nani? Asprini: Warembo wote jf wa kwake,kha! MoDs piga ban huyu.
Cantalisia :Kwa kumwacha Rejao kisa eti kachalala,kwani ulimpendea hela?
Paw
: apigwe ban huyu,mahusiano yake na Roulette yanatia shaka.
Invisible:Ushaambiwa ubadili avatar husikii,kula ban,
Kongosho: Umezidi ulevi,mara unywe kimpumu,mara komoni,gongo ndo usiseme,kula ban
CUTE: kwa kuingilia mapenzi ya Mwali na Saint Ivuga ,
Saint Ivuga: Kwa kuvunja uaminifu kwa Mwali,kamata ban hiyo,
afrodenzi
:kwa kumficha The Finest chini ya mvungu wa kitanda,kula ban mpaka umrudishe jf ,
Kipipi:Nilikwambia unitafutie mke jf,hujatekeleza hilo,tafuna ban hiyo,
@Dark City: Husninyo jamani Husninyo,kula ban mpaka urudi na mjukuu wako jamvini,
TANMO: Umezidi umbea mpaka unautungia gazeti,lamba ban,
Nyani Ngabu: Kajizi haka...life ban,
Michelle: ndo nini sasa jana kunigandisha? Kula ban ya 24 hrs,
Eiyer: hivi wewe,kutoa 'like' unaona ni sawa na kung'oa jino? kula ban,
@sobhuza Boflo na @Figanigga: vichwa vyenu ndo serikali zenu,kuleni ban,
Erotica
: Umezidi kututia mhemuko na post zako,kula ban,
Zinduna: Nani kakutuma utoe siri za unyago hazarani,kula ban,
Mtambuzi: kwa ku do sauzi afrika bila kitendea kazi...remember? kula ban,
Naendelea kupitia akaivu ya jf,nikirudi nawashushia rungu kina
The Boss
The Rock Mamndenyi cacico(tena wewe nakutafuta) Kaizer Fixed Point gfsonwin na genge lenu lote.
PS: AshaDii MwanajamiiOne Yummy klorokwini charminglady marrytina na Dena Amsi rekodi zao safi kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Una hatari wewe? Ntakupiga ban ya nanihii hadi ufungwe P.O.P
 
Yaani hao wasafi wamehonga kwa kweli, wengine wana mwezi hawajaoga.
 
Last edited by a moderator:
well said Kaizer, aanze alif, hapo aliporukia patamshinda! karukia pabaya sana!
 
Last edited by a moderator:
Bishanga, mzima wewe, kadogoo ubatizo wake lini, au sweetlady kampeleka mtoto kwenye nyumba za kulelewa mayatima?? mimi utaisoma akaivu weeeeee, chonde usije toka povu tu mwisho wa siku!
 
Last edited by a moderator:
tusingeweza kujieleza vizuri kama ulivyomwambia Kaizer. chezea watoto wa mujini ambao wana mahela yao, siyo kusubiri kutolewa na prosoo Bishanga
 
Last edited by a moderator:
mi naomba mods waanze na wewe ikibidi wakupe ban ya miezi miwili.:happy::happy:
 
Mnaonifuata fuata nawaangalia tu, nina mganga chanika ana uwezo wa kupoteza kalio zenu
Ndo mtakalia vichwa.
 
tusingeweza kujieleza vizuri kama ulivyomwambia Kaizer. chezea watoto wa mujini ambao wana mahela yao, siyo kusubiri kutolewa na prosoo Bishanga

Umeona eeh Fixed Point....wakikutaka wanakutaka wao sio ubishooo......nimemkumbuka Gmpoleee na sredi yake ya GX 100 ya kuazima kutongozea lol (sijui hakajafunga shule au hadi sensa?)
 
Last edited by a moderator:
Hivi hamjamuelewa Bishanga? Katolewa nje na binti humu sasa wote waliomponda ktk ile thread ndo kawaombea BAN. We Bishanga ndo wa kulambwa BAN kwa kuwaaibisha the so called mabepari wa kihaya
 
Mimi nikila ban ni hasara kwa jf members, sababu utawafanya wasiingie jf. kila wakijaribu kuingia watakua wanakutana na alert;
KUNA TATIZO TUNASHUGHULIKIA, WENZETU WANASHINDWA KUINGIA JAMII FORUMS.SAMAHANI KWA USUMBUFU.KWA MAELEZO ZAIDI TUANDIKIE support@jamiiforums.com.
unacheza na mimi weye. Mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…