Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
figganigga,vipi yule mtoto wa arusha aliyekugandisha znz,ulijamwingiza 18 zako?Mimi nikila ban ni hasara kwa jf members, sababu utawafanya wasiingie jf. kila wakijaribu kuingia watakua wanakutana na alert;
KUNA TATIZO TUNASHUGHULIKIA, WENZETU WANASHINDWA KUINGIA JAMII FORUMS.SAMAHANI KWA USUMBUFU.KWA MAELEZO ZAIDI TUANDIKIE support@jamiiforums.com.
unacheza na mimi weye. Mia
Bishanga mbona sweetlady kaniaga anasafirisha watoto wa danguro la buguruni leo weekend, eti anawapeleka dodomaaaaaaaa! kule wanapokulaga mbuzi kunaitwaje tena nikumbushe jina, kadogoo kamuacha home kwangu na twins wangu! aahh hivi babake kadogoo ni nani, namuhurumia sana! anastahili ban kwakweli!
Una hatari wewe? Ntakupiga ban ya nanihii hadi ufungwe P.O.P
Hi honey......
ahsante uncle Bishanga kwa kutoniombe ban, hivi hapo Smile, Nicas Mtei hujawataja? vipi kong's bunsen burner? maziwa ya mgando? na hata Judgement... na usijisahau pia...
alonikataa nani? mtaje kwa jina.
naona itabidi niagizie ya chuma, siku hizi kuna mininga fake, sitaki ku-take chanceslolest Fixed Point u have made my day kabisaaaaaaaaaaa! now i can sleep, kujua mkwe wamepata, tena manati yenyewe nakushauri kachukulie chalinze, manati ya mninga! ushawahi kuona weye?
platozoom nani yako? naona unatafuta ban ya nguvu sasa charminglady.i cant believ my legs, nimenusurika ktk tundu la sindano. platozoom uko wapi swthat tukashereke hakiya mbuzi leo natoroka kibaruan hata km ridandansi nipewe tu!
mimi hawa viumbe siku hizi nawaheshimu sana ndo maana nawapaga shikamoo hata kama mdogo kwangu. miafigganigga,vipi yule mtoto wa arusha aliyekugandisha znz,ulijamwingiza 18 zako?
hahahaaaa....!!!!. mianaona itabidi niagizie ya chuma, siku hizi kuna mininga fake, sitaki ku-take chances