MoDs piga ban wafuatao tafadhali:

MoDs piga ban wafuatao tafadhali:

Hivi hamjamuelewa Bishanga? Katolewa nje na binti humu sasa wote waliomponda ktk ile thread ndo kawaombea BAN. We Bishanga ndo wa kulambwa BAN kwa kuwaaibisha the so called mabepari wa kihaya

alonikataa nani? mtaje kwa jina.
 
Mimi nikila ban ni hasara kwa jf members, sababu utawafanya wasiingie jf. kila wakijaribu kuingia watakua wanakutana na alert;
KUNA TATIZO TUNASHUGHULIKIA, WENZETU WANASHINDWA KUINGIA JAMII FORUMS.SAMAHANI KWA USUMBUFU.KWA MAELEZO ZAIDI TUANDIKIE support@jamiiforums.com.
unacheza na mimi weye. Mia
figganigga,vipi yule mtoto wa arusha aliyekugandisha znz,ulijamwingiza 18 zako?
 
Last edited by a moderator:
tena umenikumbusha: sweetlady: kila mwaka unazaa wakati kazi huna na nitonye kamshahara kenyewe ndo hako ka udereva wa daladala,kula ban.
Bishanga mbona sweetlady kaniaga anasafirisha watoto wa danguro la buguruni leo weekend, eti anawapeleka dodomaaaaaaaa! kule wanapokulaga mbuzi kunaitwaje tena nikumbushe jina, kadogoo kamuacha home kwangu na twins wangu! aahh hivi babake kadogoo ni nani, namuhurumia sana! anastahili ban kwakweli!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
lolest Fixed Point u have made my day kabisaaaaaaaaaaa! now i can sleep, kujua mkwe wamepata, tena manati yenyewe nakushauri kachukulie chalinze, manati ya mninga! ushawahi kuona weye?
naona itabidi niagizie ya chuma, siku hizi kuna mininga fake, sitaki ku-take chances
 
naomba kujua visheni, misheni na objektivu ya jeiefu, kabla sijaruius hivyo vi-ban, motto yake naijua... whea wi dea tu tok openli..
 
Bishanga mbona sweetlady kaniaga anasafirisha watoto wa danguro la buguruni leo weekend, eti anawapeleka dodomaaaaaaaa! kule wanapokulaga mbuzi kunaitwaje tena nikumbushe jina, kadogoo kamuacha home kwangu na twins wangu! aahh hivi babake kadogoo ni nani, namuhurumia sana! anastahili ban kwakweli!

baba kadogoo keshalamba ya two years tayari kwa matunzo mabovu.
 
Back
Top Bottom