MoDs piga ban wafuatao tafadhali:

MoDs piga ban wafuatao tafadhali:

Kwanza naomba uniambie Amyner kanicheat kwa nani...
Appetite ya kula imekata dah habari hizo nzito kwangu

jamani,mbona @aspirin naye anajua hii maneno? long time Amyner anakufanzia mkuu.
 
Last edited by a moderator:
jamani,mbona @aspirin naye anajua hii maneno? long time Amyner anakufanzia mkuu.
Mh mi nashangaaga babu babu mara ninii mh
Kwa kuwa una kashfa ya umbea na udaku sitakuamini na tuhuma zako nazirusha kuleee
I love Amyner na sitasikiliza maneno ya Bishanga kamwe....
 
Last edited by a moderator:
Kaizer acha kumwingiza mkenge FP bana,mihela muhimu aisee kwenye malavidavi,we siku ukiishiwa ndo utajua mbivu na mbichi.

asa Bishanga mihela kwa nani? kwa Fixed Point? wala usisubutu. Niulize mimi. Kwa cacico? Huyo ana 'mguu wa kuku' kabisa. uliza aliupata kwa sababu gani? sio matwins. charminglady ndo ivo tena..

sasa ukiwatishia na lunch za kempisk, wao wanajua kabisa hizi kamba afu watakupeleka ukweli...ukinipigia simu umekwama apo ujue siji. ili ujifunze
 
Last edited by a moderator:
baba kadogoo keshalamba ya two years tayari kwa matunzo mabovu.
sasa Bishanga nani kamrithi sweetlady jamani??? maskini shoga angu, nani baazazi kuu humu ndani limrithi?? kadogoo malezi ya singo parent itakuwa mbaya wallah!
 
Last edited by a moderator:
naomba kujua visheni, misheni na objektivu ya jeiefu, kabla sijaruius hivyo vi-ban, motto yake naijua... whea wi dea tu tok openli..

jf kama kilivyo chombo kingine cha habari/mawasiliano majukumu yake makuu ni:
1.kuhabarisha
2.kuelimisha
3.kuburudisha
mfano: jukwaa la siasa limejikita zaidi katika kuhabarisha na kuelimisha ,mmu iko kikuelimisha zaidi,chi chat ni full burudani,hapa chichat bongo ndo zinapigwa massage.
 
naona upo zaidi ya neno siriazi, lol! wanangu kazi ipo wallah, itabidi nikawafunde ziwa tanganyikaaaaaaa chini kule kabisa, wakitoka wamekwiva! HAWADANGANYIKI NG'O! lol!
ha haaaaaaaaaaaaaaa, kazi kwao akina Bishanga. watabaki kutoa mimacho tu
 
Last edited by a moderator:
Hehehee jino kwa jino...
Unamwaga ugali mi namwaga mboga km kawa...
Erickb52 upo baba, sikusomi unajua? isijekuwa wanakukamua kupitiliza huko sakina! maana watoto wa hiyo barabara ni soo!
 
Last edited by a moderator:
Mh mi nashangaaga babu babu mara ninii mh
Kwa kuwa una kashfa ya umbea na udaku sitakuamini na tuhuma zako nazirusha kuleee
I love Amyner na sitasikiliza maneno ya Bishanga kamwe....

siku moja usije sema sikukwambia...kalagabao na ubozi wako.
 
asa Bishanga mihela kwa nani? kwa Fixed Point? wala usisubutu. Niulize mimi. Kwa cacico? Huyo ana 'mguu wa kuku' kabisa. uliza aliupata kwa sababu gani? sio matwins. charminglady ndo ivo tena..

sasa ukiwatishia na lunch za kempisk, wao wanajua kabisa hizi kamba afu watakupeleka ukweli...ukinipigia simu umekwama apo ujue siji. ili ujifunze
Kaizer umejuaje?? matwins ni nouma, ila mama mkwe wao Fixed Point kaniacha hoi, katafuta manati ya chuma kabisa - neno 'ningejua' halitaki. kuhusu Bishanga asikupe tabu, wala hasumbui akithubutu siku hiyo ndio atajua kwa nini CNN haina wanga, wameloga weeeeeeeeeee, wameacha wenyewe!
 
Back
Top Bottom