MoDs piga ban wafuatao tafadhali:

MoDs piga ban wafuatao tafadhali:

asa Bishanga mihela kwa nani? kwa Fixed Point? wala usisubutu. Niulize mimi. Kwa cacico? Huyo ana 'mguu wa kuku' kabisa. uliza aliupata kwa sababu gani? sio matwins. charminglady ndo ivo tena..

sasa ukiwatishia na lunch za kempisk, wao wanajua kabisa hizi kamba afu watakupeleka ukweli...ukinipigia simu umekwama apo ujue siji. ili ujifunze
Kaizer, kwa kumfanya ajione mdogo, tunampeleka, then tunaagiza kila kitu very expensive, that is, tunapoagiza hatuangalii kule mwisho kumeandikwa bei gani..... akishindwa kulipa tuna-swipe kadi zetu tu...... atakoma kuwatokea mapedeshee ya kike
 
Last edited by a moderator:
Bishanga mpaka watu wengine wajue kuwa huna namba yangu? mimi nimewazuga kwa kukushukuru ili wajue tumeongea! umeshajiharibia sasa. majisifu yote kwishney

Nilishasema mapema, uyu Bishanga hajuagi haya mambo! nilipoona post ya kumshukuru nikajua enhee, mtu ameshakuwa fixed na Fixed Point. response yake sasa....:happy::happy:
 
Last edited by a moderator:
Bishanga mpaka watu wengine wajue kuwa huna namba yangu? mimi nimewazuga kwa kukushukuru ili wajue tumeongea! umeshajiharibia sasa. majisifu yote kwishney

Hee ina maana ulikuwa ushaiingizwa mjini na Bishanga lol
Kweli unapenda matapishi
 
Last edited by a moderator:
mkuu we niunganishe tu na mmoja wa hawa,mengine niachie,wakitaka breakfast grand regency nairobi,lunch The four seasons london na dinner hilton ya new york nitampeleka tu kamanda.
Hatudanganyiki
 
Kaizer, kwa kumfanya ajione mdogo, tunampeleka, then tunaagiza kila kitu very expensive, that is, tunapoagiza hatuangalii kule mwisho kumeandikwa bei gani..... akishindwa kulipa tuna-swipe kadi zetu tu...... atakoma kuwatokea mapedeshee ya kike

chezeya bishanga wewe,ushawahi ona credit card ya platinum weye?
 
Back
Top Bottom