MoDs piga ban wafuatao tafadhali:

MoDs piga ban wafuatao tafadhali:

Nilishasema mapema, uyu Bishanga hajuagi haya mambo! nilipoona post ya kumshukuru nikajua enhee, mtu ameshakuwa fixed na Fixed Point. response yake sasa....:happy::happy:
umeona eeeeeeeeh Kaizer. huyo Bishanga mwenyewe pamoja na kujisifia na mihela ambayo hana, kumbe pia ni kilaza, yaani kumfundisha itakuwa shida sana
 
Last edited by a moderator:

Na bado ana gundu huyu, kama hajahamia PNG mwaka huu akaoe Kombai tribe tu


Hata kama amekosea mchagulie adhabu nyingine,hiyo ban akifungwa P.O.P ya fanyio si ndo utakuwa umemuua mhaya huyo.na anavyopenda!!

Makeke ya bure, akiwa chumbani hana lolote
Kazi kuvuja jasho tu

Mmmh, anapigwa Knock Out kabla ya pambano, si lolote.
Ndo maana wanamkimbia na mihela yake

hahahahaaaa Pemba umeacha kwenda siku hizi?

Sasa hivi nimampata mmoja maeneo ya Nungwi
 
Mtu yeyote mwenye hekima na busara zake wa jinsia ya kike, hebu aje kitandani hapa anihadithie hapa mnajadiliana kitu gani hasa?:bange::bange:

Asprin nilikuamini sana ila naona umemua kuniingilia kwa kumnyemelea mai waifu...
Kumbe bora poyoyo wangu Bishanga kuliko wewe babu muharibifu....
 
Last edited by a moderator:
umeona eeeeeeeeh Kaizer. huyo Bishanga mwenyewe pamoja na kujisifia na mihela ambayo hana, kumbe pia ni kilaza, yaani kumfundisha itakuwa shida sana

Hajuagi kufuta mdomo Fixed Point....

haya mambo yana principles zake, ambazo inabidi wote kuzijua sawia.

wengine ndo maana huwa hatupendi kuset high bars manake kanuni za mchezo tunazijua lol
 
Last edited by a moderator:
kweli kabisa hasa ukizingatia erickb52 ana mke wa ndoa.
Bishanga mke wandoa kitu gani?? alipinduliwa princess Diana, monica naye akala na Clinton?? itakuwa huyo mke wa Erickb52??? ye angoje kumwaga machozi ya mvua, maana expiring date ndio hiyooooooooooo imewadia! lol!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom