MoDs piga ban wafuatao tafadhali:

MoDs piga ban wafuatao tafadhali:

Bishanga wewe ndo unastahili life Ban kwa uchonganishi pamoja na tujiumbea twa hapa na pale hasa kuhusu ndoa za watu..
 
Weweee mamawatoto cacico, hayo manati ya nini? unataka kuwatoa watoto wangu macho eee???
sweetheart za mida hii?? ndio unaamka toka nilivyokupa dozi ya mchana? Young_Master usijali darling wangu, Fixed Point hawezi watenda watoto, kwa kuwa mama mkwe atafaa, wapo kwenye mikono salama. yule mkubwa nadhani Kaizer atamfaa! au unaonaje??? mwahhh, mwahhhhhh, yakusindikizia lunch hayo, lol!
 
Last edited by a moderator:

Weweee cacico umekunywa mchana huu nini? Sasa hivi ni mchana?
 
Last edited by a moderator:
Mod yeyote naomba apige ban Bishanga kwa kuhemuka

na thread yangu lkn bado ananiombea ban! teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
hahahah kadi ilete hapa hapa...sasa we elekeza mtutu ukute hakunamo risasi! utakomajeee!

Alafu big shem Kaizer yule jamaa kaniachia ujumbe wako,pia nashukuru kwa ujumbe huu murua uliompatia Bishanga,kesho ntapitia hm mwambie sisy wangu AshaDii mambo huku tayari.
 
Last edited by a moderator:
Mtu yeyote mwenye hekima na busara zake wa jinsia ya kike, hebu aje kitandani hapa anihadithie hapa mnajadiliana kitu gani hasa?:bange::bange:

Hahahahahaha!shikamoo babu Asprin lol!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom