Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hayo waachie akina Bishanga ambao hawajali kuaibika
nakumbuka mkuu. Elizabeth Dominic atakuwa anajiandaa na jumapili, ha haaaaaaaaaa, siku zimekaribia ujuehahahaaa....unakumbuka jpili tunakutana wapi eeh...afu Elizabeth Dominic sijui yuko wapi leo?
baby love!
hata mi nahisi,ngoja ni log off (source:washawasha).
za siku? nakuaminia shem.
haijalishi kwa akina fataki kama BishangaMi under 18
haijalishi kwa akina fataki kama Bishanga
sweetheart za mida hii?? ndio unaamka toka nilivyokupa dozi ya mchana? Young_Master usijali darling wangu, Fixed Point hawezi watenda watoto, kwa kuwa mama mkwe atafaa, wapo kwenye mikono salama. yule mkubwa nadhani Kaizer atamfaa! au unaonaje??? mwahhh, mwahhhhhh, yakusindikizia lunch hayo, lol!Weweee mamawatoto cacico, hayo manati ya nini? unataka kuwatoa watoto wangu macho eee???
sweetheart za mida hii?? ndio unaamka toka nilivyokupa dozi ya mchana? Young_Master usijali darling wangu, Fixed Point hawezi watenda watoto, kwa kuwa mama mkwe atafaa, wapo kwenye mikono salama. yule mkubwa nadhani Kaizer atamfaa! au unaonaje??? mwahhh, mwahhhhhh, yakusindikizia lunch hayo, lol!
Young_Master hubby kwani saa ngapi, na tarehe ngapi leo, naomba niulizie kwa babu Asprin!Weweee cacico umekunywa mchana huu nini? Sasa hivi ni mchana?
Mtu yeyote mwenye hekima na busara zake wa jinsia ya kike, hebu aje kitandani hapa anihadithie hapa mnajadiliana kitu gani hasa?:bange::bange: