Mods wa jf

Mods wa jf

[emoji216][emoji216][emoji216][emoji216][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji536]
 
Mods sitak kuwaponda ila ingependeza zaid kama mngekua mnashiriki kwenye mijadala mbali mbali moto moto ya hapa jf eetii kwan nyie mpo busy sana participetin hata kidgo tuone michango yenu sio kupiga ban tuu haya peleken jukwaa LA utan[emoji41] [emoji106]
Nimefurahi sana kuona huu uzi..Binafsi yangu nimewa PM hadi sasa hivi sioni jibu lolote,Nadhani wakimaliza kula sikukuu watanijibu[emoji53]
 
[HASHTAG]#mond[/HASHTAG] uzi Wangu wa @Naombeni wasifu \sifa za wanaume wa iringa. Mmeupeleka wapi??
Mimi najifunza kwani nimepata mchumba wa iringa
 
Back
Top Bottom