V vickboy.com Member Joined Jul 29, 2013 Posts 85 Reaction score 23 Sep 21, 2013 #1 wizara ya elimu na mafunzo ya ufund imetoa majina ya second selection ya ualimu kwa ngaz ya diploma na grade A.kama una ndugu rafk na jamaa waliokuwa wanasubir hilo wataarifu mzigo uko tayar waende kwenye website ya wizara. nawasilisha.
wizara ya elimu na mafunzo ya ufund imetoa majina ya second selection ya ualimu kwa ngaz ya diploma na grade A.kama una ndugu rafk na jamaa waliokuwa wanasubir hilo wataarifu mzigo uko tayar waende kwenye website ya wizara. nawasilisha.
kitwala JF-Expert Member Joined Aug 31, 2012 Posts 1,476 Reaction score 1,066 Sep 21, 2013 #2 Wadau watakuwa wamekupata.