moevt haooo tena!

moevt haooo tena!

vickboy.com

Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
85
Reaction score
23
wizara ya elimu na mafunzo ya ufund imetoa majina ya second selection ya ualimu kwa ngaz ya diploma na grade A.kama una ndugu rafk na jamaa waliokuwa wanasubir hilo wataarifu mzigo uko tayar waende kwenye website ya wizara. nawasilisha.
 
Back
Top Bottom