moevt kuacha walimu wenye taaluma na kuajiri watu wa fani nyingine

rubwe

Senior Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
109
Reaction score
25
Walimu wenzangu ili mnalionaje moevt imeacha baadhi ya walimu ambao wamesomea fani ya ualimu na kuajiri watu wenye taaluma nyingine kama walimu. Hususan mwaka huu walimu wengi wameachwa, na watu wa taaluma nyingine waking'aa kwenye ajira mpya za walimu
 
hizo taaluma nyingine ni zipi? Ingekuwa vizuri ungekuja na ushahidi badala ya kutumia hisia na story za kwenye vijiwe vya ghahawa.
 
We muongo hakuna kitu kama hicho, kama vipi lete ushahidi, hatutaki majungu hapa!
 
taaluma gani??? mbona uhueleweki!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…