Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
taaluma gani??? mbona uhueleweki!!Walimu wenzangu ili mnalionaje moevt imeacha baadhi ya walimu ambao wamesomea fani ya ualimu na kuajiri watu wenye taaluma nyingine kama walimu. Hususan mwaka huu walimu wengi wameachwa, na watu wa taaluma nyingine waking'aa kwenye ajira mpya za walimu