Aliye iteua yupo kwa munibu WA sheria ?, alichaguliwa kuhalaliMwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani, Mohamed Chande, amesema kuwa tume anayoiongoza imeundwa kwa mujibu wa sheria. Ameyasema hayo leo katika mkutano wake na wahariri wa vyombo vya habari, Desemba 01, 2025.