WALA VUMBI BWANA...
KWANN USIMFATE FACE TO FACE UMCHANE NA UMPE USHAURI MZURI KAMA HUU??
FEDHA ZAKE, ACHA AZITUMIE ATAKAVO MZEE
#Chief Eng.
Acha kulia kijana,tafuta pesa zako ili ufanye hayo uliyotuelezea.Jana ametangaza nia ya kuinunua club ya simba sc hisa 51 kwa bilion 20 halafu mchana kaenda TFF kusajiri timu yake mpya MO FC
Huyu jamaa bana wakati anazungumza na wanahabari alisema eti aliziacha timu za Singida United na African Lion sabab hazina mashabiki,sasa iyo plan B yake ya MO FC nan ataishabikia?
Kwanini usinunue timu zenye base ya washabiki kama ashanti,coastal union ukaziendeleza huku zikitangaza biashara zako bil kubadirisha jina la timu maana hiyo MO FC haisound kabsa
Sasa mbona sioni sehemu ulipo onesha ulimbukeni wa Mo?Jana ametangaza nia ya kuinunua club ya simba sc hisa 51 kwa bilion 20 halafu mchana kaenda TFF kusajiri timu yake mpya MO FC
Huyu jamaa bana wakati anazungumza na wanahabari alisema eti aliziacha timu za Singida United na African Lion sabab hazina mashabiki,sasa iyo plan B yake ya MO FC nan ataishabikia?
Kwanini usinunue timu zenye base ya washabiki kama ashanti,coastal union ukaziendeleza huku zikitangaza biashara zako bil kubadirisha jina la timu maana hiyo MO FC haisound kabsa
Umaskini unakusumbua hadi unawachukia wenye pesa zao.Kweli ule alioufanya mpaka kukaa chini kavaa suti ni ushamba tu ili aonekane yuko pamoja na wananchi maskini wakati hakuna kabisa bilionea!!!
Wewe kweli Ki*laza, nani kakuambia timu zinasajiliwa TFF? Halafu akashaisajili TFF ndo inacheza ligi kuu? Unaonekana LIMBUKENI wa hali ya juu halafu unatusi watu wenye dhamira ya mpira wa Tanzania.Jana ametangaza nia ya kuinunua club ya simba sc hisa 51 kwa bilion 20 halafu mchana kaenda TFF kusajiri timu yake mpya MO FC
Huyu jamaa bana wakati anazungumza na wanahabari alisema eti aliziacha timu za Singida United na African Lion sabab hazina mashabiki,sasa iyo plan B yake ya MO FC nan ataishabikia?
Kwanini usinunue timu zenye base ya washabiki kama ashanti,coastal union ukaziendeleza huku zikitangaza biashara zako bil kubadirisha jina la timu maana hiyo MO FC haisound kabsa
Ahahaaaaah...shida ni ile ndui tulichomwa nadhani ndio madhara haya sio bure hela zake kukaa chini na suti ni yake tuanze kujadili upuuzi huo...Timu anatoa hela yake awe bilionea asiwe wewe au mimi aitusaidii chochote kuanzisha Timu haikusaidii chochote...
Mtu chake buana weee, wakati wewe unafikiria kati ya Mkate au Maandazi ninunue kipi kubana matumizi, mwenzio tayari ameshatumbua Kuku robo tatu na robo kaiacha na anaondoka zakeJana ametangaza nia ya kuinunua club ya simba sc hisa 51 kwa bilion 20 halafu mchana kaenda TFF kusajiri timu yake mpya MO FC