katika hilo ulimbukeni wake uko wapi?Jana ametangaza nia ya kuinunua club ya simba sc hisa 51 kwa bilion 20 halafu mchana kaenda TFF kusajiri timu yake mpya MO FC
Huyu jamaa bana wakati anazungumza na wanahabari alisema eti aliziacha timu za Singida United na African Lion sabab hazina mashabiki,sasa iyo plan B yake ya MO FC nan ataishabikia?
Kwanini usinunue timu zenye base ya washabiki kama ashanti,coastal union ukaziendeleza huku zikitangaza biashara zako bil kubadirisha jina la timu maana hiyo MO FC haisound kabsa
Kweli ule alioufanya mpaka kukaa chini kavaa suti ni ushamba tu ili aonekane yuko pamoja na wananchi maskini wakati hakuna kabisa bilionea!!!
Hili la kuanzisha timu ni jambo jema kabisa, hata yule mdosi wa Jangwani angefanya hivo hivo mpira wetu ungepiga hatua japo kidogo.Jana ametangaza nia ya kuinunua club ya simba sc hisa 51 kwa bilion 20 halafu mchana kaenda TFF kusajiri timu yake mpya MO FC
Huyu jamaa bana wakati anazungumza na wanahabari alisema eti aliziacha timu za Singida United na African Lion sabab hazina mashabiki,sasa iyo plan B yake ya MO FC nan ataishabikia?
Kwanini usinunue timu zenye base ya washabiki kama ashanti,coastal union ukaziendeleza huku zikitangaza biashara zako bil kubadirisha jina la timu maana hiyo MO FC haisound kabsa
kwani azam wametoa wapi mashabiki?
shida ni ile ndui tulichomwa nadhani ndio madhara haya sio bure hela zake kukaa chini na suti ni yake tuanze kujadili upuuzi huo...Timu anatoa hela yake awe bilionea asiwe wewe au mimi aitusaidii chochote kuanzisha Timu haikusaidii chochote...
Sie ni balaa kwa kunung'unika, sasa sijui kama MO angesema aende jukwaa kuu alafu wazee wa Itifaki wamrudishe sijui ingekuaje hapo zaidi ya "jamaa anajiona bilionea anaamua kwenda jukwaa kuu wamemtimua" maana kukaa chini napo ni agenda na angekuja na kiti chake napo wangesemaUmaskini unakusumbua hadi unawachukia wenye pesa zao.
Tatazo moja ss ma black tuna chuki sana kwa vijana waliofanikiwaNimependa sana hili jibu.
Mtu hata robo ya hela zake hafikii, jishauri mwenyewe umzidi.....wabongo bana. [emoji23][emoji23]